Aputwike
Senior Member
- Aug 9, 2016
- 172
- 189
Habari wanajukwaa.
Mara kadhaa kupitia kwa watu, mitandao ya kijamii na redio, nimekuwa nikilisikia sana jina la mwanadada aitwaye Beatrice Ndung'u, likitajwa sana katika ulingo wa burudani. Je, ni nani huyu? Anahusika vipi na burudani? Nafasi yake ni ipi hasa kwenye burudani?
Nitafurahi kwa majibu murua kutoka kwenu.