Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Miraji achana naye kabisa. Nilikuwa nikikutana naye natetemeka. Saivi makongo haina mvuto tena.Ahahhaha ubishoo NA usister duu ulikuwa unauacha getin ukishaingia ndan unakuwa kama askar....Babu NA Miraji waliweza kuichangamsha shule kwa kwel
mabanda kuinama = favelaAtakuwa anatoka Rio uswahilini.
Ahahahaha si bora ww ulikuwa unatetemeka,kuna Dada tulikuwa tunasoma naye yy alikuwa kila akikutana NA Afande Miraji lazima amwamkie ....Kwa siku anaweza kutana naye hata Mara 10 NA zote ni mwendo wa shikamoo afande tu kwa uoga.....Miraji achana naye kabisa. Nilikuwa nikikutana naye natetemeka. Saivi makongo haina mvuto tena.
Tatizo sio kibamia Bali jinsi ya kukitumia...doh mwanaume umwambia ana kibamia,unamaliza nguvu zake zote hahaaaaa hata kama anayo ndefu ataanza kujishuku hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kubalini tu,sio wote muwe na miguu ya mtoto,halaf ukiwa na kibamia usichepuke utaaibika,huyo bolt anajijua yeye ni famous baado anafanya ujinga,anyway naona anapresent wanaume wengi,wanaume wakipewa uhuru kidogo lets say kwenda mji mwingine kikazi,huo uhuru watataka kuexperiment vitu vingi kikiwepo vimwana.
Duh miraji ilikuwa namba nyingine ile. Umenikumbusha darasani kulikuwa na sista du mmoja hivi mrembo wa darasa.Ahahahaha si bora ww ulikuwa unatetemeka,kuna Dada tulikuwa tunasoma naye yy alikuwa kila akikutana NA Afande Miraji lazima amwamkie ....Kwa siku anaweza kutana naye hata Mara 10 NA zote ni mwendo wa shikamoo afande tu kwa uoga.....
Ahahahaha hizo ndio zikikuwa zake Afande Miraji....Ile sio ofisi aisee,ofisi gan kama kiwanda cha siso bwana....sisi tulikuwa tunaiita Guantanamo bay unaingia mkavu unatoka shati limelowa chapachapa NA jasho..Duh miraji ilikuwa namba nyingine ile. Umenikumbusha darasani kulikuwa na sista du mmoja hivi mrembo wa darasa.
Siku hiyo miraji kaingia darasani akamuita jina, dada kaitikia kama hataki huku anajivutavuta kuinuka. Weee.... Miraji alimjia akamvuta kwa nguvu mpaka mbele ya darasa, kamnasa kibao maskini mrembo wetu kaanguka chini tukajua kazimia.
Miraji hakustuka, ndo kwanza kamwambia nikifika ofisini nikute umeshafika. Duh, mrembo ikabidi ajizoe zoe amfate.
Wale maafande sijui walikuwa wanajiamini nini.
Halafu ile ofisi ya miraji unaikumbuka ilivyokuwa inafanana?
Shukran ndugu kwa kunifahamisha Rio uswazini panaitwaje ndio uzuri wa Jf huu.mabanda kuinama = favela
ametoka favela ya rocinha huko ni mpira na ngada.
Tatizo sio kibamia Bali jinsi ya kukitumia...
Na alielala Na Clinton anaitwa nani.?
Mkuu hujaniambia umepita pale lini.Miraji achana naye kabisa. Nilikuwa nikikutana naye natetemeka. Saivi makongo haina mvuto tena.
Aisee ni miaka mingi sana.... 90s huko. Wewe utakuwa wa juzi juzi lazima. Au sioMkuu hujaniambia umepita pale lini.
Hapana mkuu kitambo kidgo 2000s...nimeingia pale tunafanya written exams nakukumbuka kulikuwa NA shift tatu saa 3,6 & 9 NA kila shift shule inajaa unaweza imagine ni kias gan kulikuwa NA ushindan wa kupata nafas pale.Aisee ni miaka mingi sana.... 90s huko. Wewe utakuwa wa juzi juzi lazima. Au sio
Demu gani sasa huyu hata kuwa na skendo naye aibu,hata mwantumu wangu huku uswahilini kamzidiMbona uyo dada sura imemkomaa hivyo?
Aisee ni miaka mingi sana.... 90s huko. Wewe utakuwa wa juzi juzi lazima. Au sio
Kwan unamjua mkuu Nyani? Defensive mechanism ama? Labda pengine anahis nitamtemea sumu ahahahaha... just kidding!!!! Ila mm sina utani nae Reina namuheshimu sana tu.Hahaa eti 90s huko...
We Reina si ni katoto ka juzi juzi tu hapa...
Mimi nimesoma pale A level na hapakuwa na shift wala mtihani. Ila kupata nafasi pale kweli ilikuwa mbinde sana, ila kwa mwenye ufaulu mzuri haikuwa tabu.Hapana mkuu kitambo kidgo 2000s...nimeingia pale tunafanya written exams nakukumbuka kulikuwa NA shift tatu saa 3,6 & 9 NA kila shift shule inajaa unaweza imagine ni kias gan kulikuwa NA ushindan wa kupata nafas pale.