Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Mimi katoto ka juzi juzi?...Nitakutia mangumi.Hahaa eti 90s huko...
We Reina si ni katoto ka juzi juzi tu hapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi katoto ka juzi juzi?...Nitakutia mangumi.Hahaa eti 90s huko...
We Reina si ni katoto ka juzi juzi tu hapa...
Mimi katoto ka juzi juzi?...Nitakutia mangumi.
Poa poa princes ...Mimi nimesoma pale A level na hapakuwa na shift wala mtihani. Ila kupata nafasi pale kweli ilikuwa mbinde sana, ila kwa mwenye ufaulu mzuri haikuwa tabu.
Kitambo sana.... PoaPoa poa princes ...
Tutatiana nini? Mangumi?Basi tutatiana...😛
Tutatiana uliyoyasema.Tutatiana nini? Mangumi?
Hahaha....uko mtundu mtundu tu.Tutatiana uliyoyasema.
Ndo maana nikaitwa Richard Mugizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha....uko mtundu mtundu tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo maana nikaitwa Richard Mugizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajuaje ...hizo kiki tu ...unafikir atajitangaza vipi ndo brand yake itakua ataanza kufatwa na TMZahahaa nilivokuwa namtamani bolt kumbe hewa
Ushawahi kumwona Mugizi yoyote asiye mtundu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sijawahi kuona aisee. Mugizi wote ninaowafahamu wako crazy....wakorofi wakorofi, ili mradi vimbwanga vya hapa na pale. [emoji28]Ushawahi kumwona Mugizi yoyote asiye mtundu?
Si bora 7dk ...kuna wengine team jogoo 0.5 secIla dakika 40 nying jaman...je angemaliza ndan ya dk 7 ingekuaje sasa kwi kwi kwi