Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mwanadada huyo wa nchini Cameroon aliyekuwa anaishi Marekani amefariki kwa kujiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumtoa boyfriend wake nchini Cameroon kumgharamia ahamie Marekani watafute maisha wote.
Kilichotokea baada ya kipindi flani walikwaruzana kidogo na muda haukupita jamaa akaanza kubadilika kisha taarifa zikamfikia mdada huyo kuwa boyfriend wake ambaye bado ni kijana ametangaza kuoa mwanamke mwingine tarehe 3 June mwaka huu ndipo kwa mshtuko mdada huyo akajiua kutokana na kutumia pesa zake nyingi kwa upendo kumgharamia mwanaume wake awe na maisha mazuri ila amemgeuka bila kutarajia.
Mdada huyo alikuwa anaishi Maryland, Marekani na kifo chake kimeibua simanzi kwa wanaomfahamu ambao wamejitosa kuomboleza hadi mtandaoni.