Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Wana Jamvi,
Niko confused naomba msaada.
dada wangu amekuwa na boy friend na hadi sasa wamekuwa wachunga (ingawa haijulikani kwa wazazi)
Mwezi uliopita Boy friend wake amemwamuru ahamie nyumbani kwake (kwa mwanaume), na kama mdogo wangu hataki kuhamia, basi kuna mwanaume anamweka pale. Hili swala limenitatiza sana. Kama kweli boy friend wake anataka waishi wote, ni ka nini asiende nyumbani kupeleka posa na kuharalisha kila kitu? Na kwa nini mwanaume amwekee mwanamke ULTIMATUM? Mapenzi ndio yako hivyo?
Kwa uzoefu wangu, ukishahamia kwa mwanaume kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa sana wa kuendelea kuishi hivyo, na sasa sana mtapasha KIPORO! Mbona kama ni kupotezeana muda, jamaa anaweza kum dump dada yangu wakati wowote!
Jamani, naombeni ushauri nimshauri nini dada yangu ambaye amechanganyikiwa; mapenzi anayataka lakini amnaogopa kufanya jambo ambalo hana hakika nalo????