Mwanadada kuhamia kwa fiance: Hii imekaaje?

Mwanadada kuhamia kwa fiance: Hii imekaaje?

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wana Jamvi,

Niko confused naomba msaada.
dada wangu amekuwa na boy friend na hadi sasa wamekuwa wachunga (ingawa haijulikani kwa wazazi)

Mwezi uliopita Boy friend wake amemwamuru ahamie nyumbani kwake (kwa mwanaume), na kama mdogo wangu hataki kuhamia, basi kuna mwanaume anamweka pale. Hili swala limenitatiza sana. Kama kweli boy friend wake anataka waishi wote, ni ka nini asiende nyumbani kupeleka posa na kuharalisha kila kitu? Na kwa nini mwanaume amwekee mwanamke ULTIMATUM? Mapenzi ndio yako hivyo?

Kwa uzoefu wangu, ukishahamia kwa mwanaume kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa sana wa kuendelea kuishi hivyo, na sasa sana mtapasha KIPORO! Mbona kama ni kupotezeana muda, jamaa anaweza kum dump dada yangu wakati wowote!

Jamani, naombeni ushauri nimshauri nini dada yangu ambaye amechanganyikiwa; mapenzi anayataka lakini amnaogopa kufanya jambo ambalo hana hakika nalo????
 
life is about taking risks... nobody is ever sure of anything
 
Muulize huyo jemba mkiwa wawili nia yake ni ipi haswa? Na kama anania nzuri, aende kwa wazazi wenu, huku huyo dada yako akiwa karudi home mapema.
 
Kama walishawahi kuzini sioni tatizo lakuhamia asiamie kama ajwahi kumpa tunda kwa nini
dini yetu ya kikriso airuhusu uzinzi na si kuishi pamoja ..mnaruhusiwa kuishi pamoja kama mmeoana
sasa kama yuko kwa wazazi wako na bado jamaa anaendelea kummega akuna tofauti wakawa pamoja wafe na dhambi ya uzinzi kwa ujumla..baibo inasema bora uwe baridi ama moto na isi uvuguvugu dadako anajaribu kuwa vuguvug wakati anautaka ubaridi..so naomba muulize swali moja kama ameshamegwa na anaendelea kumegwa basi kuishi pamoja aina tofauti..dhambi iliopo ni kumegwa kabla ya ndoa na si kuishi pamoja
all the best
wasalaaam
basiasi
 
Mbona rahisi jibu,aoe ndio achukue mke, huyo mwanamme angekua dada yake angekubali kufanyiwa hivyo? mwambie dada yako asijirahisishe na aiheshimu familia, huyo ni mwanamme vyovyote itakavyo kua,kama anataka wakumfulia nakumpikia
atafute mfanya kazi.
 
mbona rahisi jibu,aoe ndio achukue mke, huyo mwanamme angekua dada yake angekubali kufanyiwa hivyo? Mwambie dada yako asijirahisishe na aiheshimu familia, huyo ni mwanamme vyovyote itakavyo kua,kama anataka wakumfulia nakumpikia
atafute mfanya kazi.

mkuu lipi bora
aendelee kukaa kwao huku akimegwa na familia iradharaulike maana jamaa inaonekana anaenda kuuchukua mzigo hme kabisa ama aende kwa huyo bwana waendelee kukamuana aka wazini??
 
Mbona rahisi jibu,aoe ndio achukue mke, huyo mwanamme angekua dada yake angekubali kufanyiwa hivyo? mwambie dada yako asijirahisishe na aiheshimu familia, huyo ni mwanamme vyovyote itakavyo kua,kama anataka wakumfulia nakumpikia
atafute mfanya kazi.

So true!!
 
Unajua hii ndio madhara ya wazazi weetu wa vileo badala ya kutufundisha tusitoe mpaka tuoe ama kuolewa tunahimizwa akikisha ukitoka nyumbani unaenda kwa mumeo ama mkeo na hili limefanya hata wanaoolewa leo hii kama wana jamaa zaidi ya watatu walikuwa wakimega wakija kuwachukulia nyumbani hata ndoa zao awakai wanaishia kuturejeshea tena shida nyumbani na kubanana na ugali wa k ilo moja na maharage wakati mahesabu yanasema dada huyoooooooo keshaolewaaaaaaa dada huyoooooo keshaolewaaaaa mahariiiiiiiiii tushapokeaaaaa mahari tushapokeaaaaaa ni shidaaaaaaa
 
Muulize huyo jemba mkiwa wawili nia yake ni ipi haswa? Na kama anania nzuri, aende kwa wazazi wenu, huku huyo dada yako akiwa karudi home mapema.


Yaah this is good idea, maana utamwambiaje mtu ahamie kwako tu kama mzigo!
 
haina shida mwache aishi naye, km ndoa ipi ipoo tuu

Mhh,kwa kuishi naye itakwua amesha declare kwamba jamaa ni mumewe.
Akitemwa?
Swala linabaki pale pale, kwa nini jamaa asiende kwa wazazi?
Wanaume wana tabia ya KUBWETEKA wakipata ya bure.
 
Huyo ataishia kuwa hivyo, the day alipokubali kuwa mchumba bila idhini ya wazee. Mwache tu aendelee kumegwa kwa tamaa ya kuwa wachumba.

Anaweza kuoana but normal after 2 kids in a row, the future is unpredictable.
 
Mwambie amshauri mchumba wake akajitambulishe nyumbani na kufuata taratibu za kikwenu. Akikataa ujue hana nia naye na anataka kumtumia tu kwa manufaa yake binafsi.
Tafakari ....
 
Back
Top Bottom