Mwanadada kuhamia kwa fiance: Hii imekaaje?

yaani boifrendi anapiga mkwara? Maana huyo sio mchumba hata kwao hawamjui.....

Mwambieni huyo mwanaume akatoe mahari aoe sio kuleta inferiority zake kwa dada yako.......

Na akihamia kwa huyo mwanaume asahau ndoa, ataishia kuzalishwa tu....
 
aliekuambia kuna ndoa sikuhz nani ndugu yangu,sikuhz ni mwendo wa NJOO TUKAE tu....nawe unaelekea huko huko utajua tu
 
Duh! Tupo dunia tofauti!
Kwaheri!

wALA HATUPO DUNIA TOFAUTI.

=Calculation ni kwamba kuolewa au kutoOlewa kwa kuhamia kwa mwanaume kabla ya marriage
formalities?
Yes or no?

HAILIPI.:thinking::wink2::hand:
 
Sawa na kaka mmoja hapa kitaani amewekwa ndani na mdada mmoja ambae amemzidi umri kama 5-7yrs jamaa alikuwa jobless sasa amepata kazi ngoma wakigombana demu anamtukana anamtoa mbio....wanakorofishana kabisa baada ya siku 2 unaona mkaka amerudi tena ina maana mdada anaenda kubembeleza tena jamaa anarudi....mapenzi kazi kweli kweli mdada inaonekana anajiona kumekuchwa hatapata mume akifanya pose anakomalia kinoma....ndio maisha ya kimjini mjini!
 
unajua NDOA ZA SIKUHIZI ZA KIPUMBAVU KABISA
SIO KAMA ZAMANI WATU WANAOLEWA WANA BIKIRA NA KAMA AIPO IMEGUSWA NA DUDU MOJA SIO KAMA LEO WATU 40 WANAFANYA SEHEMU YA KUPIMIA SIZE ZAO NA NGUVU ZAO KWENYE UKE ALAFU UNASEMA
MTU ANAOLEWA AMEJAA TUMBO KAMA MAJI YA KISIMA CHA DAWASCO NA HUKU WASHENZI NAITA WAHUNI WACHUNGAJI WOTE WANAOFUNGISHA NDOA ZIKIWA NA MIMBA
SISEMI KWA UBAYA KAMA UMEFIKIA KUOLEWA NA UMETOKA KWA MZAZI WAKO UKIWA UMEJZWA TUMBO KWA NINI SUIENDE UKAISHI NAE KABISA MKITOKA ASBH JUMAMOSI MNAPIGA MSWAKI MNAENDA KANISANI NANI ATAWAULIZA
NAFIKIRI MAKANISA YANACHANGIA SANA SANA HIZI UHUSIANO MBOVU MBOVU KWA KWELI

SA SA KAMA DADA KAO UNAMFUGA KWA MAMA NA BABAKO ALAFU UNAANAKUJA KUJAZWA MIMBA ALAFU JAMAA ANASEMA MPAKA AFIKISHE MIEZI 5 NDIO ANAVUTA JUMLA SIKUHIZI WATU WAOGA WANAJUA KUNA WANAWAKE WALISHATOA MIMBA SANA SANA IKIFIKA MIEZI 4 SHUKURU MUNGU SO NYIE MNAOFIKIRIA SWALA MKIPATA MIMBA NIKUOLEWA THUBUTU TUNASUBIRI JE INAFIKA MIEZI 5 MPAKA 6..TUSIJE BEBEA KAMZIGO KUMBE ULIKUWA UNAFANYA KAZI YA KUGAWA DAMU KWA SHETWANI MAHOSPITALINI...OK ANATOLEWA KWENU AKIWA AMEJAA TUMBO KABISAAAAA NA WEWE UNASEMA DADA HUYOOOOOOOOOOOO AMEOLEWA AAAAAAA DADA HUYO AMEOLEWA AAAAAAAAAAA KAZI IPO KWA KWELI..MUNGU ATUSAMEHE KWA HILI
 

Mkuu unaongea hii maneno tokea ulaya au hapa bongo? Inawezekana kweli mtu 'usiye mjua' ukamwambia aje akae ndani ya nyumba yako? Kitu kishtolewa magamba hicho.
 
Mkuu pole sana. naona unaumia na mengi. Kama umeoa ni halali yako kuumia kiasi hicho, na kama bado na wakati huohuo nawe wawachezea dada za wengine, basi nadhani unaumia zaidi ya hofu alokuwa nayo dadako.

'Mlungu shibidu' wapogoro walisema bana!
 

MSHAURI AUSIKILIZE MOYO WAKE UNAVYOMUELEKEZA, SIKU HIZI HATA UKIOLEWA KWA SHANGWE , VIFIJO NA MATARUMBETA, NI YALE YALE TU, mnamwagana any time hakuna cha wanandoa wala hawara.
 
Amehamia au bado?

Kama bado asijaribu iyo kitu kabisa!Kwanza ajue kuhamia nyumbani kwa mume (kama anaishi na familia yake) ndio mwanzo wa kuharibu uhusiano wake na mchumba wake maana atatolewa kasoro ambazo pengine hana!Hiyo ni sumu mbaya. Pia hata kama mchumba anaishi alone asihamie coz jamaa hatakaa afikirie kuoa kwani kinachopatikana kwenye ndoa si anakipata daily?Akiwa mbali nae jamaa anachukua hatua za kuoa kihalali ili apate kile kitu muda wowote akitaka. Kweli kabisa MSAHURI ASIENDE otherwise ataishia kuchezewa, kuzeeshwa na mwisho kutoswa!
 
Mh...ndio baadhi ya wadada wa siku hizi wanavyopenda
 
Hajahamia ndio kwanza anavuta miguu hajui la kufanya
Kaza uzi asihamie kama sivyo itakuwa bidhaa itembezwayo. Kwanini awe na mapenzi tofauti na wenzake? Uhalali wa kuishi wawili ni kuowana na kinyume cha hivyo kunakuwa na majina tele yasiyopendeza!
 
MSHAURI AUSIKILIZE MOYO WAKE UNAVYOMUELEKEZA, SIKU HIZI HATA UKIOLEWA KWA SHANGWE , VIFIJO NA MATARUMBETA, NI YALE YALE TU, mnamwagana any time hakuna cha wanandoa wala hawara.
Haiwezekani kabisa kuwa sawa uhawara na ndowa! Kwa kuanzia mtoto atakaezaliwa hawezi kuwa sawa kati ya wa ndowa na wa nje! Na mengine na mengine mfano wa wazee kuingilia kupatanisha au umeona wapi mahawara wakapatanishwa na wazee?
 
Moja ya vitu ambavyo wanawake wa siku hizi tunakosea sana ni ile kuhamia nyumbani kwa boyfriend (wengine unakuta hata huo uchumba hajapewa bado) kabla ya ndoa. Kweli kweli kabisa unahamia kwa mwanaume kisa nini kakupa ultimatum?? Unless kuna sababu maalum na sababu hiyo ni moja tu inayoweza ku-justify mtu kuhamia kabla nayo ni ujauzito. hapo unakuwa huna kiswahili bali kuishi wote maana lazima wote muwajibike kulea ujauzito. tofauti ya hapo ni uwehu. na ndo maana wanaume hawatuheshimu kwani anajua uko hapo na huwezi kwenda kokote.

Mwambie dada yako asithubutu kuhamia. na kama ndo mtu hajaonyesha hata nia ya kwenda kwenu kujitambulisha ndo kabisa asiende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…