Kikombe kinafurika
Member
- Mar 2, 2012
- 65
- 2
Huyo atamzeesha tu dadayako, cha msingi muhimize aletewe posa, la sivyo mtamuuza bure kwa huyo jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atamzeesha tu dadayako, cha msingi muhimize aletewe posa, la sivyo mtamuuza bure kwa huyo jamaa.
Duh! Tupo dunia tofauti!How would you calculate it?
Duh! Tupo dunia tofauti!
Kwaheri!
Kama walishawahi kuzini sioni tatizo lakuhamia asiamie kama ajwahi kumpa tunda kwa nini
dini yetu ya kikriso airuhusu uzinzi na si kuishi pamoja ..mnaruhusiwa kuishi pamoja kama mmeoana
sasa kama yuko kwa wazazi wako na bado jamaa anaendelea kummega akuna tofauti wakawa pamoja wafe na dhambi ya uzinzi kwa ujumla..baibo inasema bora uwe baridi ama moto na isi uvuguvugu dadako anajaribu kuwa vuguvug wakati anautaka ubaridi..so naomba muulize swali moja kama ameshamegwa na anaendelea kumegwa basi kuishi pamoja aina tofauti..dhambi iliopo ni kumegwa kabla ya ndoa na si kuishi pamoja
all the best
wasalaaam
basiasi
Wana Jamvi,
Niko confused naomba msaada.
dada wangu amekuwa na boy friend na hadi sasa wamekuwa wachunga (ingawa haijulikani kwa wazazi)
Mwezi uliopita Boy friend wake amemwamuru ahamie nyumbani kwake (kwa mwanaume), na kama mdogo wangu hataki kuhamia, basi kuna mwanaume anamweka pale. Hili swala limenitatiza sana. Kama kweli boy friend wake anataka waishi wote, ni ka nini asiende nyumbani kupeleka posa na kuharalisha kila kitu? Na kwa nini mwanaume amwekee mwanamke ULTIMATUM? Mapenzi ndio yako hivyo?
Kwa uzoefu wangu, ukishahamia kwa mwanaume kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa sana wa kuendelea kuishi hivyo, na sasa sana mtapasha KIPORO! Mbona kama ni kupotezeana muda, jamaa anaweza kum dump dada yangu wakati wowote!
Jamani, naombeni ushauri nimshauri nini dada yangu ambaye amechanganyikiwa; mapenzi anayataka lakini amnaogopa kufanya jambo ambalo hana hakika nalo????
Amehamia au bado?
Kaza uzi asihamie kama sivyo itakuwa bidhaa itembezwayo. Kwanini awe na mapenzi tofauti na wenzake? Uhalali wa kuishi wawili ni kuowana na kinyume cha hivyo kunakuwa na majina tele yasiyopendeza!Hajahamia ndio kwanza anavuta miguu hajui la kufanya
Haiwezekani kabisa kuwa sawa uhawara na ndowa! Kwa kuanzia mtoto atakaezaliwa hawezi kuwa sawa kati ya wa ndowa na wa nje! Na mengine na mengine mfano wa wazee kuingilia kupatanisha au umeona wapi mahawara wakapatanishwa na wazee?MSHAURI AUSIKILIZE MOYO WAKE UNAVYOMUELEKEZA, SIKU HIZI HATA UKIOLEWA KWA SHANGWE , VIFIJO NA MATARUMBETA, NI YALE YALE TU, mnamwagana any time hakuna cha wanandoa wala hawara.