Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Aroo weweHivi ikitokea mtu yupo katika chronic stage hawezi pewa kasindano kakumrudisha tu kwa sir God kuepusha kuendelea kuteseka na maumivu?
Au kidini ni dhambi ya kujiua kuyaruhusu hayo?
Mboni kuwaza ivo
Usiombe kuuguza mgonjwa ambaye ni mtu wa karibu na muhimu. Unakuwa na imani kuwa labda kesho atainuka