Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 6, 2023 #21 Depal said: Hivi ikitokea mtu yupo katika chronic stage hawezi pewa kasindano kakumrudisha tu kwa sir God kuepusha kuendelea kuteseka na maumivu? Au kidini ni dhambi ya kujiua kuyaruhusu hayo? Click to expand... Aroo wewe Mboni kuwaza ivo Usiombe kuuguza mgonjwa ambaye ni mtu wa karibu na muhimu. Unakuwa na imani kuwa labda kesho atainuka
Depal said: Hivi ikitokea mtu yupo katika chronic stage hawezi pewa kasindano kakumrudisha tu kwa sir God kuepusha kuendelea kuteseka na maumivu? Au kidini ni dhambi ya kujiua kuyaruhusu hayo? Click to expand... Aroo wewe Mboni kuwaza ivo Usiombe kuuguza mgonjwa ambaye ni mtu wa karibu na muhimu. Unakuwa na imani kuwa labda kesho atainuka
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,862 Reaction score 6,438 Sep 6, 2023 Thread starter #22 Superb2014 said: Inahuzunisha sana. Click to expand... Kabisa
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,862 Reaction score 6,438 Sep 7, 2023 Thread starter #23 Superb2014 said: Ndugu na marafiki wa kweli tunawatambua tunapopita katika changamoto mbalimbali. Click to expand... Hii kikawaida inamkuta kila mtu, na hapa ndipo haswa unapojifunzaa maana halisi ya undugu na Urafiki
Superb2014 said: Ndugu na marafiki wa kweli tunawatambua tunapopita katika changamoto mbalimbali. Click to expand... Hii kikawaida inamkuta kila mtu, na hapa ndipo haswa unapojifunzaa maana halisi ya undugu na Urafiki
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,862 Reaction score 6,438 Sep 7, 2023 Thread starter #24 Msanii said: Aroo wewe Mboni kuwaza ivo Usiombe kuuguza mgonjwa ambaye ni mtu wa karibu na muhimu. Unakuwa na imani kuwa labda kesho atainuka Click to expand... Aisee
Msanii said: Aroo wewe Mboni kuwaza ivo Usiombe kuuguza mgonjwa ambaye ni mtu wa karibu na muhimu. Unakuwa na imani kuwa labda kesho atainuka Click to expand... Aisee