mdeki
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 3,299
- 475
Mwanadada mwalimu unatafutwa sana na mimi mwl mwenzio pengine mambo yakiwa sawa tutakuwa tunafarijiana kwa kudhalauliwa na serikali yetu sikivu, chonde mwenye sifa hiyo ya udada unakaribishwa ingia mzimamzima
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums