Mwanadada Suzie wa siri za familia ananikosha sana

Mwanadada Suzie wa siri za familia ananikosha sana

Huyo dada Status zake % kubwa ni za Ngono tupu.
SUZI.jpg
SUZI2.jpg
SUZI3.jpg
SUZI4.jpg
 
Huyu mtoto anajichubua, angalia magoti yake na viwiko vya mikono ni vyeusi tii! Ujinga wa wanawake wa Kibongo ndiyo huu, sijui kwanini hawaipendi rangi yao ya asili.
Ana jichubua wapi na wewe "" Hiyo ni editing tu "" na quality ya camera ....ndio imemfanya aonekane ni mweupe kiasi hicho ...aliyefanya hiyo editing kashindwa kusafisha hizo pictr sehemu za magoti ....kwahiyo wewe wadhani kuwa huyo demu ndiye anamuonekano huo wa Rangi kama ambavyo tunavyomuona hapa...
"" Kalagabaho mtaliwa pesa zenu bure
 
Ukienda kuonana nae unakuwa very disappointed
 
Mkilizwa mje kuanzisha thread humu ,mkuu hivi dem kama huyu muonekano huu unakua unampenda na una plan nae ?

Sema tu ukweli tukuelewe sisi sote wanaume,madem design hii hua tuna eat and run
Huyu umetamani mechi nae
 
Mkilizwa mje kuanzisha thread humu ,mkuu hivi dem kama huyu muonekano huu unakua unampenda na una plan nae ?

Sema tu ukweli tukuelewe sisi sote wanaume,madem design hii hua tuna heat and run
Huyu umetamani mechi nae
Huyu hata sijisumbui hata kumwangalia mara mbili.
 
Suzzie ni mrembo haswa, anavutia kumtazama ila katika ishu ya uigizaji bado yuko too shallow.
Hajui kuvaa uhusika kiusahihi.

Na nadhani hii Siri Ya Familia wameangalia zaidi mvuto wa kimuonekano wa wahusika kuliko ubora au talent zao ktk kuigiza na kuvaa uhusika!!!
 
Back
Top Bottom