Mwanadada Suzie wa siri za familia ananikosha sana

Mwanadada Suzie wa siri za familia ananikosha sana

Kweli raia tumetofautiana mimi napenda vitu vilivyo jisitiri kama hivi
c06bb66215819d05134a6a21f18c7b95.jpg
 
Suzzy
1.Shepu-A
2.Tako-A
3.Hips -A
4.Guu-A
5.Sura-B
6.Uigizaji-F
7.Ubunifu-F
Mimi simuoni kama muigizaji bali ni kama mwanamke anayetafuta madanga kupitia sanaa,sababu vigezo na sifa za uigizaji hana na hiki kitu ndicho kina iua bongo movie,hawangalii kipaji cha mtu bali mwonekano,matoke yao movie zao zinakosa ubunifu kila siku vile vile.Ila kwa uzuri ni mzuri haswa, ila uigizaji ana F.
8. Sauti - F negative
 
Suzzie ni mrembo haswa, anavutia kumtazama ila katika ishu ya uigizaji bado yuko too shallow.
Hajui kuvaa uhusika kiusahihi.

Na nadhani hii Siri Ya Familia wameangalia zaidi mvuto wa kimuonekano wa wahusika kuliko ubora au talent zao ktk kuigiza na kuvaa uhusika!!!
Wanajua wapenzi wa bongo movie wanataka nini! Mwonekano na si maudhui, hata mleta mada kaleta picha zake kwa sababu ya mwonekano na si kazi yake
 
Back
Top Bottom