Mwanadada, ukivaa gauni la chui chui lisikupendeze, hakuna nguo itakayokupendeza!

Mwanadada, ukivaa gauni la chui chui lisikupendeze, hakuna nguo itakayokupendeza!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Kila mwana dada niliyewahi kumuona kavaa lile gauni la madoa ya chui chui alikuwa amependeza maana gauni lilimkaa fresh.
Nikawaza iwapo kuna binti ambaye gauni hili halijawahi kumpendeza, sidhani kama kuna nguo nyingine yeyote itakayo mpendeza....
tiger 2.jpg
tiger 1.jpg
 
Nadhani ni mentality tuliyojijengea katika ubongo. Chui hata kumtizama tu anavutia kwakweli. Ana sura ya upole na mabakamabaka yale.....ila mtiti wake sasa ndo balaa

-So guys please proceed with caution
 
Wala sababu ya kupendez cio chui chui bali nguo imeushik mwili wake ndo sabab kubwa nyingine hizo mbwembwe
 
Kuna siku nilitaka kuuliza ni mimi tu au na wengine ni hivyo hivyo? Mimi mdada yoyote akivaa chui chui namtamani vibaya sana!
Basi ntanunuuaa kuanzia magauni, handbags hadi viatu
 
Kila mwana dada niliyewahi kumuona kavaa lile gauni la madoa ya chui chui alikuwa amependeza maana gauni lilimkaa fresh.
Nikawaza iwapo kuna binti ambaye gauni hili halijawahi kumpendeza, sidhani kama kuna nguo nyingine yeyote itakayo mpendeza....
View attachment 511413 View attachment 511411
Alafu nyingi zinawabana kinoma...yaani ramani nzima ya africa unaiona ikichanganywa na zile mistari ya chuichui
 
Nooooo....just a figure-hugging gown....!
Hehehe ili uone goodies vzuri ehhh,
I wouldn't put a body hugger on a first date though, nkishakuzoea ndo ntavaa ya kubana
 
Mwanamke anayejitambua hawezi vaa chui chui hizo ni nguo za malaya tu na hilo lipo wazi dunia nzima..
 
Back
Top Bottom