Mwanadada, ukivaa gauni la chui chui lisikupendeze, hakuna nguo itakayokupendeza!

me napenda chui chui sana aisee
 
Aisee mimi hizo nguo huwa zinanikamata sana, hasa ukute Dada aliyeivaa inamkaba vizuri ana chura ya kawaida kuna hiyo ya chui na ile ya pundamilia aisee naweza nikasindikiza mtu mpaka anapoishia.
 
Mi sijaona kama kapendeza kiukweli. Sijui lakini wengine wanaonaje...
 
Ha ha mmesahau pundamilia. Akiwa anatembea na mzigo unanesanesa lazima uchanganyikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…