Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

Hizi picha anaziandaa kwa jarida gani?

Kama hakuna jarida basi mnisamehe bure sijaelewa kabisa, ningesema bangi inanipeleka kubaya lakini sijavuta kabisa
 
Naona kuna smelly situation hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…