Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

khee anamume?
Anae mama tena ni mwanamuziki mwenzie anaitwa ochusheggy
b1720bb5b5e124a7782c17c664f6cbde.jpg
 
mapaja yameshikamana sana me sipendi mademu wenye mapaja yamegandana hivyo... haya witness kesho utoe hicho kitu huko juu tufaidi mzigo huo
Wivu tu huo!
Sijawahi ona mchagga mwenye shindu la haja na mtaji wa paja kama la huyu mwanadada witty!
 
Sana mkuu wanaume mpo tofauti sana
Sana, kuna utofauti mkubwa sana. Hasa huu muingiliano wa kiutamaduni, unatufanya tusahau misingi ya kimaisha na kuhalalisha udhalilishaji wa kinadada. Hata iwe dhiki ya namna gani kwa msichana anayejitambua ni vigumu kukubali udhalilishaji kama huu. Sana sana fikra za walimwengu zinalenga kwenye kuvutia wakware
 
Back
Top Bottom