Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
hapana mkuu huwa napenda kuangalia uumbaji tu
Chagga queen nimekumiss sana. Nahamu ya kukuona tena.
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mkuu huwa napenda kuangalia uumbaji tu
ha haha sasa hivi nipo mbali sana huwezi nionaChagga queen nimekumiss sana. Nahamu ya kukuona tena.
-Kaveli-
ha haha sasa hivi nipo mbali sana huwezi niona
Nipe access nikamsukume topeHuyo anajiuzaga, hapo yupo kwenye matangazo ya biashara yake, tatizo kubwa alilonalo ni utata wa Afya yake....
Duh!!!
Najiuliza hili swali...wakilisha kipindi hicho bwana
mziki ulikua zamani
Sio huyu mkuu, yule ni Shaa jina lake kamili sijui nani. Huyu alikuwa anachana mistari fresh, aliolewa sijui alizaa nae mzungu flani, labda mzungu kamtosa au kachoka au ndio anaempiga picha wanafanya sanaa flani ya picha. Hizo picha ni balaa hasa kwa zama hizi ambazo hadi wazungu wanashindana kuwa na hilo furushi la nyanya masaro a.k.a makinikia. Si unawaona akina Kim kardashian, Igy Azalea, Jennifer Lopez, Rosa Acosta, Amber Rose, n.k.Kwani huyu si Master j (wa mj record) ndio anasimamia shoo ??
sio huyo mkuu yule anaitwa SHAAKwani huyu si Master j (wa mj record) ndio anasimamia shoo ??
Mkuu unamjua kiundani huyu binti?Huyu dada ana tatizo la kisaikolojia. Hata Gigi akichunguzwa lazima watakuwa na matatizo yanayofanana. Kwa kifupi huyu binti ana 'daddy issues'. Baba yake alimtelekeza mama yake. Mama alipambana na maisha mtoto akaenda sekondari Makongo, ila ukata ukasababisha ashindwe kuendelea na masomo akiwa kidato cha pili. Baba yake yupo, ila ni kwamba ni kama amefuta kama ana mtoto. Kwahiyo hicho tunachokiona ni mtoto kutafuta attention ya baba ambayo ameikosa maisha yake yote.
Tusiwe wepesi kuhukumu, kuna watu wamepitia majaribu mengi sana hapa duniani. Huyu anatakiwa apewe ushauri nasaha ili aweze kumsamehe baba yake(ana bifu kali na dad yake) na pia ajikubali kuwa ana mafanikio ijapokuwa hajalelewa na baba yake.
Kivipi?Huyo anajiuzaga, hapo yupo kwenye matangazo ya biashara yake, tatizo kubwa alilonalo ni utata wa Afya yake....
Siku zote Mwanaume hajifichi,unajifanya kutumia Avatar ya Mwanamke! Utakuwa Punga wewe!
kwamba ana tatizo la kisaikolojia yes,Huyu dada ana tatizo la kisaikolojia. Hata Gigi akichunguzwa lazima watakuwa na matatizo yanayofanana. Kwa kifupi huyu binti ana 'daddy issues'. Baba yake alimtelekeza mama yake. Mama alipambana na maisha mtoto akaenda sekondari Makongo, ila ukata ukasababisha ashindwe kuendelea na masomo akiwa kidato cha pili. Baba yake yupo, ila ni kwamba ni kama amefuta kama ana mtoto. Kwahiyo hicho tunachokiona ni mtoto kutafuta attention ya baba ambayo ameikosa maisha yake yote.
Tusiwe wepesi kuhukumu, kuna watu wamepitia majaribu mengi sana hapa duniani. Huyu anatakiwa apewe ushauri nasaha ili aweze kumsamehe baba yake(ana bifu kali na dad yake) na pia ajikubali kuwa ana mafanikio ijapokuwa hajalelewa na baba yake.
Hayo ya kuhusu Baba yake sio umbea wala uongo, ni maneno yake mwenyewe. Kuna wakati huwa anajisikia kunung'unika kuhusu Baba yake na kuanza kufunguka.Mkuu unamjua kiundani huyu binti?
-Ndumilakuwili-
Siwezi kufafanua zaidi maana ni suala la kitaalam nami sio mtaalam wa mambo hayo, japo nina mwanga kiasi chake. Wataalam wa sosholojia wanaweza kufafanua zaidi. Kama uko interested, soma mambo kama paternal transference na maternal transference.kwamba ana tatizo la kisaikolojia yes,
kwamba tunachokiona ni yeye kutafuta attention ya baba yake ambayo ameikosa maisha yake yote naona haijakaa kiuhalisia,unaweza kudadavua kuhusu hilo?
safi sana mkuu nitatafuta hiyo makitu.Siwezi kufafanua zaidi maana ni suala la kitaalam nami sio mtaalam wa mambo hayo, japo nina mwanga kiasi chake. Wataalam wa sosholojia wanaweza kufafanua zaidi. Kama uko interested, soma mambo kama paternal transference na maternal transference.