Mwanadada Witness naona kaanza kufata nyendo za Gigy na Amber Lulu

Huyu dada ana tatizo la kisaikolojia. Hata Gigi akichunguzwa lazima watakuwa na matatizo yanayofanana. Kwa kifupi huyu binti ana 'daddy issues'. Baba yake alimtelekeza mama yake. Mama alipambana na maisha mtoto akaenda sekondari Makongo, ila ukata ukasababisha ashindwe kuendelea na masomo akiwa kidato cha pili. Baba yake yupo, ila ni kwamba ni kama amefuta kama ana mtoto. Kwahiyo hicho tunachokiona ni mtoto kutafuta attention ya baba ambayo ameikosa maisha yake yote.

Tusiwe wepesi kuhukumu, kuna watu wamepitia majaribu mengi sana hapa duniani. Huyu anatakiwa apewe ushauri nasaha ili aweze kumsamehe baba yake(ana bifu kali na dad yake) na pia ajikubali kuwa ana mafanikio ijapokuwa hajalelewa na baba yake.
 
Kwani huyu si Master j (wa mj record) ndio anasimamia shoo ??
Sio huyu mkuu, yule ni Shaa jina lake kamili sijui nani. Huyu alikuwa anachana mistari fresh, aliolewa sijui alizaa nae mzungu flani, labda mzungu kamtosa au kachoka au ndio anaempiga picha wanafanya sanaa flani ya picha. Hizo picha ni balaa hasa kwa zama hizi ambazo hadi wazungu wanashindana kuwa na hilo furushi la nyanya masaro a.k.a makinikia. Si unawaona akina Kim kardashian, Igy Azalea, Jennifer Lopez, Rosa Acosta, Amber Rose, n.k.
 
Hapo ndipo nimeamini bongo flava kuna kama kaugonjwa kwa baadhi ya wadada kutojiheshimu ukizingatia ana mume
 
Huyu dada ana tatizo la kisaikolojia. Hata Gigi akichunguzwa lazima watakuwa na matatizo yanayofanana. Kwa kifupi huyu binti ana 'daddy issues'. Baba yake alimtelekeza mama yake. Mama alipambana na maisha mtoto akaenda sekondari Makongo, ila ukata ukasababisha ashindwe kuendelea na masomo akiwa kidato cha pili. Baba yake yupo, ila ni kwamba ni kama amefuta kama ana mtoto. Kwahiyo hicho tunachokiona ni mtoto kutafuta attention ya baba ambayo ameikosa maisha yake yote.

Tusiwe wepesi kuhukumu, kuna watu wamepitia majaribu mengi sana hapa duniani. Huyu anatakiwa apewe ushauri nasaha ili aweze kumsamehe baba yake(ana bifu kali na dad yake) na pia ajikubali kuwa ana mafanikio ijapokuwa hajalelewa na baba yake.
Mkuu unamjua kiundani huyu binti?

-Ndumilakuwili-
 
Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa huyu alibadili dini alipoolewa na mwanaume flani mwaka fulani na akasema kuwa anataka kuenenda kadili ya maadil ya Imani hiyo yake mpya sasa sielewi ndio maadil yenyewe hayo au kasharudia Imani ya zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada ana tatizo la kisaikolojia. Hata Gigi akichunguzwa lazima watakuwa na matatizo yanayofanana. Kwa kifupi huyu binti ana 'daddy issues'. Baba yake alimtelekeza mama yake. Mama alipambana na maisha mtoto akaenda sekondari Makongo, ila ukata ukasababisha ashindwe kuendelea na masomo akiwa kidato cha pili. Baba yake yupo, ila ni kwamba ni kama amefuta kama ana mtoto. Kwahiyo hicho tunachokiona ni mtoto kutafuta attention ya baba ambayo ameikosa maisha yake yote.

Tusiwe wepesi kuhukumu, kuna watu wamepitia majaribu mengi sana hapa duniani. Huyu anatakiwa apewe ushauri nasaha ili aweze kumsamehe baba yake(ana bifu kali na dad yake) na pia ajikubali kuwa ana mafanikio ijapokuwa hajalelewa na baba yake.
kwamba ana tatizo la kisaikolojia yes,
kwamba tunachokiona ni yeye kutafuta attention ya baba yake ambayo ameikosa maisha yake yote naona haijakaa kiuhalisia,unaweza kudadavua kuhusu hilo?
 
Siwezi kufafanua zaidi maana ni suala la kitaalam nami sio mtaalam wa mambo hayo, japo nina mwanga kiasi chake. Wataalam wa sosholojia wanaweza kufafanua zaidi. Kama uko interested, soma mambo kama paternal transference na maternal transference.
 
safi sana mkuu nitatafuta hiyo makitu.
 
Back
Top Bottom