labda ni jabiri huyuTeh teh wewe mapaja ya wanawake wenzio unafanya nayo nini?
anhaaa ww ndo yule wanakuitaga ulimwengu? naona unataka kumfunza aliyeshindwa funzwa na mamayeeeee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wka namba yake hapa ili anachokitafuta tumpatie
madhara ya kufunga pm haya. [emoji2] [emoji2] [emoji2] jokeChagga queen nimekumiss sana. Nahamu ya kukuona tena.
-Kaveli-
ahahhahaahahanhaaa ww ndo yule wanakuitaga ulimwengu? naona unataka kumfunza aliyeshindwa funzwa na mamayeeeee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Hapana
Upande wa pili...Afadhali nishaanza kupata japo idea upo vipi umbo lako miss Chaga..
...Je upande wa rangi vp ...cheupe dawa au upande wa pili?
DuuhPicha hapo chini zinajieleza huyu mwanadada Witnes mwenyewe hupenda kujiita kibonge mwepesi dizaini kama kaanza kuiga mikato ya Gigy money na Amber lulu kupenda kupiga picha huku sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa Wazi(nusu uchi)
-Ndumilakuwili-
Mbona mzuri jamani 🤣🤣😅💀Yupo kama kiboko