Mwanadamu anatawaliwa na falme mbili

Mwanadamu anatawaliwa na falme mbili

kuna mda huwa nadhani kuwa elimu ya kiroho ndio elimu nguli zaidi na ambayo ni ya uhakika zaidi lakin tatizo lake ni moja tu uthibitisho wake siku zote unakuwa na utata kuliko elimu yetu hii ya kisayansi
 
kuna mda huwa nadhani kuwa elimu ya kiroho ndio elimu nguli zaidi na ambayo ni ya uhakika zaidi lakin tatizo lake ni moja tu uthibitisho wake siku zote unakuwa na utata kuliko elimu yetu hii ya kisayansi
utata kivipi ebu fafanua kidogo
 
Asante mkuu naomba kuuliza kidogo kati ya hizi mamlaka zinamtaka anaezifuata atoe sadaka.
Je mamlaka kuu sadaka ya aina gani hua ina swihi?
 
Mm ni mfuasi wa ufalme wa Mungu muumba mbingu na nchi nikiwa napitia kwenye magumu yeye hunifariji
 
Dunia ilivyo na vituko na maswali yasiyo na majibu,ukimuuliza muhadzabe hayo mambo hakuna analolifaam hata moja na haegami pande yoyote anakula zake mizizi na maisha yanasonga, WORLD LIFE IS GAME WHO CREATE THIS GAME?!!
 
Kuna wapuuzi wanatuchora pembeni sisi tunachezewa.
hiki kitu ndo kinatufanya pia tusiumuze bongo zetu
FB_IMG_1536178979433.jpg
 
Well said Mshana Jr, ila mimi naamini uwepo wa Mungu na malaika wake as well as mizimu yangu tu. Siabudu dini za watu kwani zote zinafagilia tamaduni na Imani zao zisizotuhusu sie.
 
Tunasaau vitabu japo vimo na humo ila inawia ugumu kuvisoma.
Everything is connected...life s the matrix..somebody(people) are controlling us..

We are in the matrix singularity..
Everything happening to you has a connection with the universal controller of each and everything...

Hii kitu ukiielewa utajuta kwanini ulikuwa gizani..
 
Back
Top Bottom