Mwanadamu anatawaliwa na falme mbili

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] I will keep this reply for future lessons... It has deep philosophy 'deep within'...These are just not mere words to fantasize with... [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
kuna mda huwa nadhani kuwa elimu ya kiroho ndio elimu nguli zaidi na ambayo ni ya uhakika zaidi lakin tatizo lake ni moja tu uthibitisho wake siku zote unakuwa na utata kuliko elimu yetu hii ya kisayansi
Uko sahihi sana,... Lakini ukishajua kuwa roho sio moyo hutapata shida tena.. Kumbuka huu pia ni ufunuo ule ule wa pande mbili
 
Asante mkuu naomba kuuliza kidogo kati ya hizi mamlaka zinamtaka anaezifuata atoe sadaka.
Je mamlaka kuu sadaka ya aina gani hua ina swihi?
Tunatoa sadaka na villingilio kote kote na kila sadaka inaswihi kulingana na imani ya mtoaji
Kikubwa hapa ni kwamba unamtolea nani, unatoa nini kwa ajili ya nini
 
Dunia ilivyo na vituko na maswali yasiyo na majibu,ukimuuliza muhadzabe hayo mambo hakuna analolifaam hata moja na haegami pande yoyote anakula zake mizizi na maisha yanasonga, WORLD LIFE IS GAME WHO CREATE THIS GAME?!!
Bado lazima kuwe kuna kitu anakiamini.. Binadamu hawezi kujiongoza mwenyewe... Siku moja tulikuwa mahakamani na kesi ya mchina.... Basi akatakiwa kuapa, akasema yeye hana dini... Akaulizwa unaamini nini!? Akasema HAAMINI CHOCHOTE ZAIDI YA PESA! hivyo kama ni lazima kuapa yuko tayari kushika noti
 
Ndo maana sayansi na mambo Mungu havikai pamoja
Hapana ni tafsiri potofu tu za kibinadamu... Mwana sayansi nguli halafu namba moja ni Mungu mwenyewe... Ni ensyclopidia ya kwanza ya SAYANSI ni Bible
 
Uko sahihi sana,... Lakini ukishajua kuwa roho sio moyo hutapata shida tena.. Kumbuka huu pia ni ufunuo ule ule wa pande mbili
nashukuru sana na ndio maana uwaga naelewaga sana kitu unachojaribu kutuwekaga sawa humu lakini bado kuna watu watakuja kupinga na hapo ndio utaona falme mbili vizuri miongoni mwao😂😂
 
nashukuru sana na ndio maana uwaga naelewaga sana kitu unachojaribu kutuwekaga sawa humu lakini bado kuna watu watakuja kupinga na hapo ndio utaona falme mbili vizuri miongoni mwao[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hapana ni tafsiri potofu tu za kibinadamu... Mwana sayansi nguli halafu namba moja ni Mungu mwenyewe... Ni ensyclopidia ya kwanza ya SAYANSI ni Bible
Wengi ukiwambia hivyo watakataaa na kuanza kuleta MA Theory ya ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…