Hizo siku lazima zije na kuhusu kusurvive hilo ondoa shaka maana dunia haijaanza kuwa na majanga makubwa leo wala jana.
Kuna matukio makubwa yaliyowai ikumba dunia na kubeba mamilioni ya maisha ya watu lkn uhai lazma uwepo tu, na hiyo ndyo NATURE ya Dunia kulinda maisha ya species mbalimbali wasiweze kutoweka wote no matter what happened lazima maisha yabaki.
hata kama walimwengu woote tukaumia kwa mabomu ya kinyuklia hatutaweza kupotea wote, lazma kuna kizaz hata cha weak people kitazaliwa baadae ambacho kitakuwa mbadara wetu japo nacho kitakuwa kimebeba madhaifu fulan tokana na maswahibu yaliyopita, Ushahidi ni huko Nagasaki& Hiroshima bado maisha yapo japokuwa wale waliodhurika mpka sas wana generation ya wanadamu walio na madhaifu fulan fulani.
na kwa bahat mbaya tupo ktk nyakat hizo ngumu na hatari..
Hatar yake ni kwamba watu wamejisahau sana kwa kuzani dunia ni sehemu safe na hawana mipango yoyote juu ya future itakuwaje.
Ktk mataifa makubwa wao wanajua nn kitakuja kutokea ndiomaana tunawaona kila siku wakibuni mbinu za kusave raia wao kwenda kuishi nje ya dunia kama hapa hapatokuwa safe.
Pia wamejipanga kwa mapambano na mashambuliz dhid ya maadui,
Ninaposema maadui namaanisha kuwa vita ya3 ya dunia kama itatokea wao wamejipanga kwa kupambana na wale wasio wa milengo yao,
pia adui mwingine ni wa nadharia, yaan aliens invasion& AI Robotics wars,
Ambapo ktk nadharia hizi wao husema kuwa inaweza tokea siku kulingana na maendeleo ya technology kunaweza kutokea perishable/interference into artificial intelligence ambazo zimekuwa zikiundwa kwa ajili ya kucontrol machines mbalimbali , vifaa na mifumo yote ya mawasiliano na siraha, sasa kutokana na uvamizi wa programs haribifu(viruses) ktk fikra bandia hizo za machines na kupelekea kufanya matendo ya kiutofaut na commands zilizowekewa na mwanadamu AI hizo zifanye kazi zinaweza kuleta madhara makubwa dunian.
Na ktk vita hivi, itakuwa ngumu sana kwa mwanadamu kupambana na hawa robot waliokwisha affectiwa na viruses ama kuwa controlled na watu waovu ambapo itahitajika misaada ya kuunda ant-viruses za kuuwa programs hizo endeshi kinyume na commands, pia kukimbia mazingira hatarishi ambapo mifumo tambuzi ya hawa roboti inaweza mdhuru mwanadamu.
Kiufupi naposema AI kwa kwa lugha gongana namaanisha AI is the ability of a machine to display human-like capabilities such as reasoning, learning, planning and creativity, AI enables technical systems to perceive their environment, deal with what they perceive, solve problems and act to achieve a specific.
Mifano ya hiyo machines learning (robots& duties)
Image recognition. Image recognition is a well-known and widespread example of machine learning in the real world. ...
Speech recognition. Machine learning can translate speech into text. ...
Medical diagnosis
Statistical arbitrage.
Predictive analytics.
Na hizo ni baadhi ya mifumo na fikra bandia ambazo husetiwa ktk hizo robot kudetect hali kulingana na kazi zake, wapo robot multi-Duties yaan wanaofanya kazi zaid ya moja na hawa huwekewa mifumo tambuzi ya aina tofaut tofaut ili kukidhi matakwa, pia wapo robot single purpose ambao huwa na mfumo tambuzi bandia wa aina moja ambao hudili na kazi moja tuu.
Kazi za maroboti hao ni nyingi sana, inaweza kuwa ktk mapishi kwnye migahaw na mahotelin, mahospitalin ktk kufanya upasuaji, kutunza madawa, kugundua aina za magonjwa, kupima wagonjwa.
Pia kuna robot hawa wanao husika na mitandao ambao kaz zao ni ulinz wa data za watumiaj pia wengine hutumika kwa ajili ya upelelezi na udukuzi wa data za walengwa.
Pia kuna hawa robot ambao hutengenezwa just for funny mfano huyo robot sofia aliyetengenezwa kama mwanadamu ambaye anaweza kuwa kama rafiki kwa mtu kupiga nae story,kufanya urafiki na kushare nae Mambo mbalimbali huyo nae ni aina ya multi-duties AI machine.
Kuna mifano mingi ya marobot ambao tyr wapo kazin [emoji116]
Location: Boston, Massachusetts
How it’s using AI: Piaggio Fast Forward’s AI robot acts as an extra set of hands. Are your groceries too heavy? Maybe you just can’t carry all your workout gear? Piaggio’s Gita robot uses AI to follow its owner close behind, acting as a versatile, hands-free carrier.
Perceptive Automata
Location: Boston, Massachusetts
How it’s using AI: Perceptive Automata uses machine learning to help autonomous vehicles with one of the most important parts of their jobs- predicting human behavior. Most autonomous vehicles are currently rigid in their driving capabilities, meaning that they drive conservatively and sometimes counterintuitively to human behavior. Perceptive Automata’s AI robot technology is constantly teaching autonomous vehicles about human behavior and showing cars how to operate safely in a human driver-dominated world.
Sasa robot hawa wanakuwa useless na dangerous pale wanapofanya kazi tofaut na maagizo waliyowekewa ktk mifumo yao tambuzi& endeshi mfano robot wa kutibu wagonjwa akaanza kufanya mamboo kinyume na maelekezo, pia robots wa kucontrol siraha za kinyuklia wanapokuwa attacked by viruses au kufikiwa na mikono ya watu wabaya kwa kuanza kutenda matendo kinyume na sheria walizowekewa.
Kuna mengi kuhusu haya mambo siwez elezea sana lkn hawa watu wa nchi zikizoendelea wamejipanga vzur kudeal na haya mambo pale yaendapo vibaya.
Huku kwetu tupo bize kubishania mambo yakipumbv tu.
View attachment 2105769