Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

kwa mujibu wa bbc tafiti zaonyesha core ya dunia inapoa muda baada ya muda na athari zake ni kupotea kabisa kwa uwezo wake wa kutunza uhai japo it takes billion of years kuweza kupoa kabisa but it's obvious one day one time on the space time life on earth will come to an end.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ikipoa kitatokea nini..?
 
Majanga yamekuwepo duniani miaka na miaka, yakija mengine kiasi fulani cha watu wataangamia na wengine watabaki.
 
Mungu ndiye mlinzi wetu mkuu,sisi wenyewe hatuwezi kujilinda.What ever we might do is wastage of time and resources.Najua Marekani chini ya ardhi NWO wamejenga miji in the form of bunkers,lakini hayo yote si kitu.Mungu anasema alindaye nyumba yake bila Yeye kuilinda anafanya kazi bure.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kama ukweli asiseme
hakuna ukweli wala uongo kwenye imani as long as imani ni kuwa na hakika ya mambo yasiyoonekana . ukiwa na imani hii ni tisa na mimi nikaamini ni sita kuna mbaya hapo ?.kwani kunilazimiaha niseme ni tisa ? wakti kwangu mimi ni sita na kwawewe ni tisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku masihi Yesu Kristo ndio tunamngojea

Aiseh hi huku naitamani sana

Yesu Kristo asinisahau kwenye Ufalme wa Baba yake
 
Huyu masihi ndie Yesu Kristo tunaemngojea kwa hamu zote

Aiseh hii siku naitamani sana sana niwe miongoni mwa watakatifu watakaomlaki Yesu Kristo mawinguni na ndio ombi langu kubwa

Yesu Kristo asinisahau kwenye Ufalme wa Baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…