LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY
Kiufupi hii law inaelezea ukinai wa kitu unavyotokea.
Kadri mtu anavyokitumia kile kitu kinamfanya akichoke na asikitamani tena.
Hii law inaendana na law of diminishing marginal return, tofauti ni kwamba ya marginal return inaelezea upande wa productivity and efficiency, na hii ya marginal utility inaelezea upande wa tabia ya mwanadamu.
Mfano 1:
Mtu ukiwa na njaa unakuwa na hamu ya kula sana, ila kadri unavyoendelea kula njaa inapungua na hamu ya kula inapungua kutokana na kushiba.
Mfano 2:
Ukimuona mwanamke mrembo unakua na shauku ya kuwa nae kutokana na tamaa ila baada ya hapo ni rahisi kumuona wa kawaida na hana mvuto kama ulivyomuona mwanzo.
Mfano 3:
Mara ya kwanza kununua gari au simu utaipenda sana, ila kadri unavyoendelea kulitumia unaliona la kawaida na unatamani kuliuza na kununua lingine
Point ni kwamba, mwanadamu hukinai kitu kadri anavyoendelea kukitumia sasa ili kuepuka ukinai basi kama ni chakula mtu ale kwa kiasi ili kesho akione kitamu.
Kama ni Gari basi liongezee nakshi nakshi ili uzidi kuliona jipya.
All in all, kila kitu kwa kiasi.
Karibuni wachangia hoja
#productivity #law #diminishingmarginalutility #satisfaction #economics