Kwa hiyo unashauli nini kwa wanadamu?Inaonekana binadamu ana uwezo mkubwa sana lakini bado hajautumia.Niliwahi kusoma utafiti mmoja na ikagundulika kwenye utafiti ule kuwa mwanadamu anatumia uwezo wake wa akili au kufikiri kwa asilimia 10 tu!Yaani pamoja na vituko vyote hatujaweza hata kutumia asilimia 50!Kumbe inawezekana ikawa sababu ya upofu wetu wa kujijua na kujua kuhusu nguvu zinazotuzunguka kama Mungu n.k,au ndo maana tunaamini katika hizo nguvu,yaani huenda hazipo na tunashindwa kujua hazipo kwa sababu hatufikiri vyema!
Inaonekana binadamu ana uwezo mkubwa sana lakini bado hajautumia.Niliwahi kusoma utafiti mmoja na ikagundulika kwenye utafiti ule kuwa mwanadamu anatumia uwezo wake wa akili au kufikiri kwa asilimia 10 tu!Yaani pamoja na vituko vyote hatujaweza hata kutumia asilimia 50!Kumbe inawezekana ikawa sababu ya upofu wetu wa kujijua na kujua kuhusu nguvu zinazotuzunguka kama Mungu n.k,au ndo maana tunaamini katika hizo nguvu,yaani huenda hazipo na tunashindwa kujua hazipo kwa sababu hatufikiri vyema!
Ndo maana Yesu alisema yeye ni Mungu....Then mtu anakurupuka kusema haiwezekani Yesu akawa Mungu...hyo inayoitwa Mungu unaielewa vizuri???Tatizo tunaogopa kudadisi nadharia ya Uungu kwa sababu dini zetu nyingi zinasema ni kufuru...check kwenye google verse za Tao Te Ching by Lao Tzu.
psychologist wanasema hivi kile ukijuacho umetumia only 10% na hii ni kwasababu ukiweza kuiexploit yote this world will turn up to a disaster place for living imagine exploitation of what you have is only 10% and yet so much destruction in this world what if you exploit half of it?
Hii ya kufuru siipendi kabisa!!
Anamaanisha haya ndio matokeo ya mawazo ya kilokole_ofcoz walokole na wale wajahidina ndio wanaoiharibu hii dunia...kwa uvivu wao wa kufikiri.Unamaanisha nini ndugu?
Hii ya kufuru siipendi kabisa!!
Tutafute namna ya kutumia uwezo wetu wote ili utusaidie!
Hicho ndicho ninachomaanisha.....Wavivu wa kufikiri na kuwajibika always wanajilinda na neno "KUFURU" sababu akishasema kufuru then humpeleki popote hata umfunge nyororo ujue hapo utamnyofoa mwili na mkono wake utabakia kwenye nguzo yake iitwayo KUFURU!!Tufunguke jamani waliotuletea dini wamerelax sisi huku tunakosa usingizi na kuchapana bakora kwa kitu ambacho hukuchagua mwenyewe(tumechaguliwa na wazazi wetu)...kua mkristo,mwislam,mhindu,mbudha n.k hatukua na option yoyote!!!Turelax kwanza then ndo tuzungumze ukweli at the end tutaelewana tu watanzania wenzangu!!!Anamaanisha haya ndio matokeo ya mawazo ya kilokole_ofcoz walokole na wale wajahidina ndio wanaoiharibu hii dunia...kwa uvivu wao wa kufikiri.
Toa hiyo KUFURU ndo tunaweza kuzungumza hii mada vizuri sababu sio kitu rahisi rahisi tu kama unavyofikiria ndugu yangu Eiyer....Mtu ni kitu kikubwa sana ambacho mtu mwenyewe hajajijua na ukubwa wake upo karibu saaaaana na ile iitwayo Mungu...kwa ufahamu wangu,mtu yeyote akisema yeye ni mungu sintokataa ila ntamuuliza kama concept "MUNGU" anaielewaje???kutokana na jibu lake ndo ninaweza kusema chochote juu ya madai yake ya kwamba "yeye ni mungu"Kiukweli mungu hayupo mbaali na mtu tatizo mtu ndio hajui hilo kama ambavyo hajui kutumia uwezo wake mkubwa wa ki-ungu...na kuutumia ni mbali,ni kwamba hajui tu kama anao uwezo huo...na amini usiamini dini ndio inayompelekea mtu kuona kwamba kuna distance kubwa na tofauti kubwa kati yake na mungu na hapo ndipo ilipozaliwa kitu inaitwa KUFURU!!!Unamaanisha nini ndugu?