kama unaijua bible vizuri hiyo Yohana 1:1 haikusemwa na yesu kristo wala hazikunasibishwa naye na mtunzi wa injili kulingana na Yohana.hivyo mistari hiyo si hoja kuonyesha uungu wa Yesu,hasa unapozingatia shaka walizonazo wanazuoni wakristo kuhusu Injili ya nne.Wanazuoni wa Biblia waliotunga THE FIVE GOSPELS( Injili Tano ) wamesema " Sura mbili zilizochorwa na Yohana na waandishi wa Injili tatu nyingine SYNOPTIC GOSPELS, yaan injili ya Mathayo, Marko na Luka) haziwez kuwa zote kwa pamoja ni sahihi kihistoria" MANENO YALIONASIBISHWA NA YESU KATIKA INJILI YA NNE NI KAZI YA MWINJILISTI KWA SEHEMU KUBWA.
Pia neno la kiyunan kwa Mungu liilotumika ktk ibara
naye "neno alikuwa kwa mungu' ni aina ya wazi
hotheos inayomaanisha "Mungu". Hata hivyo ktk ibara ya pili "
naye neno alikuwa mungu" neno la kiyunan lililotumika si aina hiyo ya dhahiri
tontheos, linalomaanisha "mungu" kwa hiyo Yohana1:1 kwa usawa zaid inatakiwa itafsriwe.
Hapo mwanzo kulikuwa na Neno naye Neno alikuawa kwa Mungu .Hivyo ikiwa neno alikuwa kwa Mungu kwa maana yake halisi itamanisha ipo miungu miwili.Hata hivyo ktk lugha ya bible neno "mungu" linatumika kuashiria mamlaka na nguvu.Mfano, Paulo alimuita shetani "mungu" ktk 2 wakorintho 4:4 "
Hao hawaamini sababu yule mungu wa ulimwengu amezitia giza akili zao...."Musa pia ameitwa mungu ktk kutoka 7:1 "
Mungu akamuambia Musa tazama mimi nakufanya kama mungu kwa farao, nae ndugu yako aaron atakuwa nabii wako" tuwasiliane ndugu yangu pengine mimi siijui vizuri biblia basi nifafanulie vizuri ili niijue ipi haki ipi batili. Let us discus bcause DISCUSSION IS AN EXCHANGE OF INTELLIGENCE AND ARGUMENT IS AN EXCHANGE OF IGNORANCE!
achu2488@yahoo.com