Yaani wewe hata haujui watu wanajadili nini hapa...ama unafanya makusudi kuongea ujinga usiohusiana na jambo lililoko mbele yako.
Hii ya kufuru siipendi kabisa!!
Angalia unapotea wewe,
sikusema Oxygen haina tija ila mifano yako.
Na kama wewe unaona inatija jibu hayo maswali niliyokuuliza.
mkuu asante kwa kuja, pengine ukimwambia wewe ataelewa.
Na sina hakika kama hiyo 10% anayoizungumzia, anajua ni nini na iko katika misingi gani?
I thought we were talking about humans having limitations. Well, unless you get this, I am afraid you will keep on beating about the bush.
Look, the point here is humans have limitations now whether they are capable of overcoming those limitations somehow does not change the truth.
Like minded people, and you actually want everybody to think the 10% theory is a fact. FYI that is just a theory that has no proof.
umetutusi mkuu tuombe radhi.....anamaanisha haya ndio matokeo ya mawazo ya kilokole_ofcoz walokole na wale wajahidina ndio wanaoiharibu hii dunia...kwa uvivu wao wa kufikiri.
The second law of thermodymanics forbids perfect efficiency.
The second law of thermodymanics forbids perfect efficiency.
Neither is the second law of thermodynamics, and neither hints at perfect efficiency.
The changing of form of energy/ matter involves loss of energy, you cant have perfect efficiency with that.
Gene propagation involves mutation, you cant have perfect efficiency with that.
I seriously doubt you caught the meme in the memo.
Neither is the second law of thermodynamics, and neither hints at perfect efficiency.
The changing of form of energy/ matter involves loss of energy, you cant have perfect efficiency with that.
Gene propagation involves mutation, you cant have perfect efficiency with that.
I seriously doubt you caught the meme in the memo.
Hilo swali ulitakiwa kuulizwa wewe uliyesema eti inawezekana sifikii hiyo 10%.
mjasiria,mbona unakurupuka kunijibu wakati hata hujui sababu iliyopelekea niseme niliyosema?Mimi nimesema nakubaliana na alichosema Kiranga wewe unakurupuka na kusema kuwa walichofanya mitume sijui nini,nani amekuambia kufufua mtu ni jambo la ajabu?Hivi we unadhani aliyofanya Yesu aliyafanya kwaajili ya nani na kwanini?
Ulimtaja Jesus hapo juu,
was he perfect to do what he did?
Kama nimekupata vibaya nielekeze.
Kiranga;
There is nothing like loss of energy perce, except a change of energy from one form into another. If let's say, I say the the efficiency of a crushing machine is 80% i. e. velocity ratio, VR / Mechanical Advantage, MA x 100%=80%, it means 20% of the energy lost here might have been dissipated as heat, light and/sound. This is in actual fact, not a loss of energy as such but rather just a partial change of the form of energy (machanical energy) into other various forms. In this matter, the total amount of energy is still 100% though not all of it is, mechanical. There is a loss with respect to mechanical energy as part of energy but in its entirety the energy is conserved exactly at 100%,...., like the idea?