Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

Inawezekana isiweze kabisa!!!!Kwenye mambo kama haya namkumbuka sana Nyani Ngabu. . . . !!

Habari za evolution mimi sizikubali kabisa. Na ni simple common sense tu. Wanatuambia eti inachukua mamilioni ya miaka....bogus!

Kama ni hivyo mabadiliko yajayo yatakuwa lini na katika viumbe gani?
 
Habari za evolution mimi sizikubali kabisa. Na ni simple common sense tu. Wanatuambia eti inachukua mamilioni ya miaka....bogus!

Kama ni hivyo mabadiliko yajayo yatakuwa lini na katika viumbe gani?

Evolution ya bacteria haichukui mamilioni ya miaka.

Ever heard of antibiotics resistance? That is evolution. It is faster in bacteria because of scale.

Again, don't expect to see the curvature of the earth on your front door. Or the curvature of space time in front of your nose.
 

Bacteria wana-evolve na kuwa nini?

Manake usije ukawa unachanganya tolerance na evolution.

Hata binadamu akitumia sana aina moja ya dawa polepole mwili wake utajenga tolerance.

Baada ya hapo ama atahitaji dozi kubwa zaidi au atahitaji kubadili kabisa aina ya dawa atumiayo.

Kwa hiyo bado kabisa sijashawishika na hizo nadharia za evolution.
 
Habari za evolution mimi sizikubali kabisa. Na ni simple common sense tu. Wanatuambia eti inachukua mamilioni ya miaka....bogus!

Kama ni hivyo mabadiliko yajayo yatakuwa lini na katika viumbe gani?

Miaka milioni 4 iliyopita binadamu wa sasa alikuwepo?
Kama hakuwepo alikuwa wapi? & how did he come into existance?
 

Kwakujibu suali lako kwanza tujiulize kama kuongeza life expectancy/ku-improve efficieny ya system yake ni busara au ni hasara. Natural laws respect a certain balance and creatures have a well established lifespan. If we lived "in harmony" with nature and used the ressources wisely, our life expectancy would be somewhere around 50 years and the impact of mankind on environment could be reduced.

Sasa kuna jamii ambazo not only over-use the available resources but they have also increased their lifespan almost twice its natural length. Note also that from the age of 60 most of these people cease to contribute to the system they live in and start using their "savings". Given the inflation, conjuncture and other factors, their savings alone are not enough, so other tax payers have to pay their government to keep them alive beyond the "natural" period. They live older but one would question if it really is necessary to live that long if it is in those condtions (not mentioning all the care their need). This is very a subjective question.

More objectively, there are researches that have been conducted to establish if there is a superior race. I saw this documentary and thought it might be useful for this thread. They believe that some races evolved differently and therefore have different levels of intelligence.

Hapa tunaweza kurudi kwenye argument yangu hapo juu: some may have developed a Cartesian intelligence and the ability to extend their lifespans using available natural resources, and others may have developed some sort of emotional intelligence that allowed them to live in "harmony" with nature. But we are going global, and the ones who could not impose their way of life on an international level have to undergo a very rapid change in order to adapt to the global standards. Ndio maana leo tunaona kama vile kuna ambao wameendelea na wengine wanazorota kiakili, but in my opinion it is all about the standards we set.

Uwezo wa kufikiria unaweza kua ni ule ule kwa races zote, ila namna ya kutumia akili imekaa so subjective kiasi kwamba mtu anaonekana mjanja au mjinga kufatana na standards za civilisation inayo tawala.
 
Last edited by a moderator:
For the layman Does the Multiverse Really Exist?: Scientific American

Can you show that the universe is a self sufficient system? That is more like the question.

This is just another MANY UNIVERSES ideology which may not be irrefutable, but hasn't yet been proven. However, even if it were, it would not have anything to do with the inefficiency theory ou are trying to advocate here, for all cases of closed bigger/wholly systems, unless the current laws of physics comes to suggest a proof that different laws of physics hold differently in different universes (which is not the case at the moment). We therefore should agree at the moment that our universes as a closed system is perfectly efficient in that its accumulated sum of its pararmeter is eternally constant i.e constant at any time t.
 
kwani we unafahamu mbuzi alitoka wapi?

Tegry,
Mbuzi alizaliwa na mbuzi aliyezaliwa na mbuzi.
Analogue: Siku moja nilipita sehemu nikakuta tangazo limebandikwa ukutani linasomeka hivi: "USIPOJIANDIKISHA HUTAPIGA KURA".Kwenye tangazo hilo alikuja mtu fulani na kalamu halafu akaandika kwenye karatasi hiyo hiyo, mbele ya hayo maandishi akauliza swali linasema hivi "USIPOPIGA KURA JE?", Baadaye tena alikuja mtu wa pili akakuta hilo swali lililokuwa limeulizwa halafu naye bahati nzuri akapata nafasi ya kulijibu akaandika hivi "HUTAJIANDIKISHA", nadhani umepata mlolongo huo.

Kwa hiyo tutumie logic hiyo ili kuweza kujua kuwa mbuzi alitoka wapi, kwamba kama usipojiandikisha huwezi kupiga kura ina maana usipopiga kura hutajiandikisha! Vivyo hivyo kama mtu ni mtoto wa mtu aliyezaliwa na mtu, basi mbuzi naye ni mtoto wa mbuzi,aliyezaliwa na mbuzi!
 
Assuming an expansion of the universe into multiverses or their independent formulation and existence somewhere afar from our own universe, this doesnt mean anything on the total energy of the negotiating system, it will still be constant.
 

Mbuzi wa kwanza alitoka wapi? Je, alikuwa dume au jike?
 

How do you know that "the accumulated sum of it's parameter is eternally constant"?

Do you understand that the universe is not constant? And that it is ever changing? And that it is actually expanding the amount of space it contains?

Also, proving perfect efficiency by using the universe is like proving a mathematical phenomena by using it's identity. Taboo.

http://en.wikipedia.org/wiki/Identity_element
 
Siwezi kuanisha na ndiyo maana nikasema "inawezekana" ng'ombe na mbuzi wana-link some where some how.

So,tukiamua kuihoji hiyo "inawezekana yako"unaweza kutuambia nini kiliwafanya wakawa tofauti?
 
... Uwezo wa kufikiria unaweza kua ni ule ule kwa races zote, ila namna ya kutumia akili imekaa so subjective kiasi kwamba mtu anaonekana mjanja au mjinga kufatana na standards za civilisation inayo tawala...
Roulette, kama sijaelewe vizuri vile ... "uwezo wa kufkiri" .. na ... "uwezo wa kutumia akili"

are these two different gears ?
 
Last edited by a moderator:

Labda tuangalie "TOOLS" mwanadamu anazoweza kuzitumia kukabili Mazingira yake ..

1. Physical body/state .. 2. Emotional Body/state 3. Mental Body/state 4. Consciousness Body/State Ni kama kusema kuna uwezo wa aina NNE tofauti ambao hoja hii ingweza kuchambua kulingana na kichwa cha habari.

Ukisema mwanadamu anauwezo mkubwa sana lakini bado hajautumia tunahoji upi kati hizo tools nne?

Kama ni kutumia physical body ... yaaani labada kukimbia kwa speed .. ni kweli hajaweza kumpita chui au simba... Lakini sifikiri tunalenga hoja hiyo maana ... Mwanadamu anaweza kutumia uwezo wa Mental state/AKILI kutengeneza gari la kumshinda simba nk.

Kuna jamii zinatumia Emotional body/ State (HISIA) kutatulia matatizo yao ... Lakini hawana uwezo wa kutumia Mental state/Body(AKILI) hawa hawatakuwa kwenye wakati mazuri wa kutatua matatizo yao ukilinganisha na wale ambao wanaweza kutumia AKILI vizuri na hawategemei tu, Physial Body na Emotional body kutatulia matatizo yao.

Lakini Pia kuna wale ambao wanaweza kutumia Consciousness state/ Body (UFAHAMU)/INTUITION .. vizuri huku wakijumuisha AKILI zao. Kwa vyovyote vile hawa Watakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutatua matatizo ya mazingira yao vizuri kuliko wale wanaotumia DRY INTELLECT/Mental state/ Akili.

Nafiki kuwa bado mwanadamu anaweza kutumia vizuri zaidi NYENZO hizi kuliko ilivyo sasa!
 
Roulette, kama sijaelewe vizuri vile ... "uwezo wa kufkiri" .. na ... "uwezo wa kutumia akili"

are these two different gears ?

No dear, the two mean the same in this context. what I wanted to underline is the fact that we can be both stupid (or intelligent, to stick to the truth) but the standards used to evaluate our intelligence put you ahead of me. Mfano, IQ test tests only the ability to quickly solve certain problems using the logic of deduction. and that, we have to agree, is not all that intelligence is about.
 
This then, brings us to the next ... ! There must be another Human Intelligence apart from IQ to be considered when trying to evaluate the whole matter given on the topic!I understand that IQ is all about Mental state/ The Intellectual ability!! BUT No doubt, there exist another faculty in human being apart from Intellectual state which I believe isnt that much developed ... Which can contribute to the totality of his general Intelligence!! AND I believe ... some scientist intuitively or otherwise ... feels/perceive that Human being has a lot of his intelligence not yet explored!!
 
Miaka milioni 4 iliyopita binadamu wa sasa alikuwepo?
Kama hakuwepo alikuwa wapi? & how did he come into existance?

Hakuna anayejua kwa sababu hakuna rekodi yoyote ile inayoonyesha kuwa binadamu walikuwepo ama hawakuwepo enzi hizo.

Kwa vile hakuna ushahidi wa kutosha, ndiyo maana hata hiyo evolution inabaki kuwa ni nadharia tu na itaendelea kuwa hivyo mpaka hapo patakapopatikana rock solid evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…