Mara nyingi nimekua nikiona watu wanaoleta mada ambazo wanadhani ni ngumu kueleweka (hasa jukwaa hili) hua wanapenda kutumia misemo kama "Kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa" au "mtu wa kawaida hatanielewa" au utasikia "swala hili liko nje ya upeo wa akili za mwanadamu" (hasa mambo ya dini) n.k.
Mimi siku zote nimekua nikijiuliza "kama swala liko nje ya upeo wa akili ya mwanadamu, au haliwezi kueleweka kwa akili ya mwanadamu, huyo anaeliwasilisha yeye hua ametumia akili ya wapi kuweza kulielewa?"
Tuchukulie kama angeachana na Tundu lisu unadhan ungepata hasara gani? Au huyo uliyemtaja hapo anahusikaje na hik kilichoulizwa hapa??Mara nyingi hao ni watu wanaojiona kwamba ni bora kuliko wengine Tu ndu Lisu type, lkn ni Wagonjwa wa akili, wengi wanaishi kwenye Dunia yao na wamepoteza uhalisia wa kinachoendelea Duniani.
Hahah kweli asee,.ndio maana wengine tukiona hayo maneno "kwa akili ya kawaida huwezi" tunapita kimyakimya tuu hatutaki kabisaa kujichosha,.muda mchache mambo mengi ya kufanya..
Tuchukulie kama angeachana na Tundu lisu unadhan ungepata hasara gani? Au huyo uliyemtaja hapo anahusikaje na hik kilichoulizwa hapa??
Ningekuwa muoga wa kufikiri kiasi hicho ningeweza kuvuka hata barabara kweli....?Inaonekana wewe ni muoga sana wa kufikiri mambo kiundani.
Unajua kuna lugha za kifani na lugha za kawaida.
Nakuja ....
Mimi nadhani wanamaanisha wasioelewa ni wale wenye uvivu tu wa kufikilia na kuchanganua mambo, Hii hali yao huwa ni uvivu na tabia ya kupuuzia lolote linaloonekana mbele yao. Huyu ndio Mwanadamu wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukielewa kitu unakua hujatumia akili ya kawaida?Mabadiliko yoyote yale yalifanywa na watu ambao waliacha kufikiri kwa mazoea(akili za kawaida).
Kisa tu unaona jua linanyanyuka mashariki,kutua magharibi basi unahitimisha kwa akili za mazoea,jua linazunguka dunia.
Ukija kuambiwa tofauti na kuchanwa kwamba kwa akili za kawaida huwezi elewa unashangaa,how!!!
Mimi nadhani wanamaanisha wasioelewa ni wale wenye uvivu tu wa kufikilia na kuchanganua mambo, Hii hali yao huwa ni uvivu na tabia ya kupuuzia lolote linaloonekana mbele yao. Huyu ndio Mwanadamu wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi nimekua nikiona watu wanaoleta mada ambazo wanadhani ni ngumu kueleweka (hasa jukwaa hili) hua wanapenda kutumia misemo kama "Kwa akili ya kawaida huwezi kuelewa" au "mtu wa kawaida hatanielewa" au utasikia "swala hili liko nje ya upeo wa akili za mwanadamu" (hasa mambo ya dini) n.k.
Mimi siku zote nimekua nikijiuliza "kama swala liko nje ya upeo wa akili ya mwanadamu, au haliwezi kueleweka kwa akili ya mwanadamu, huyo anaeliwasilisha yeye hua ametumia akili ya wapi kuweza kulielewa?"
Ningekuwa muoga wa kufikiri kiasi hicho ningeweza kuvuka hata barabara kweli....?
Nimewaza kwa sauti tuu,.
Okay..Nimekusoma mkuu.Ni kwa jinsi nionavyo mimi!