MwanaFa aimba Taarabu; Yalaiti

Greater thinker

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
286
Reaction score
38
Msanii nguli wa miondoko ya hiphop Tanzania Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa ageukia upande wa pili katka soko la taarabu.Na kwa kuanza leo ameachia kibao chake kipya kinachoitwa 'Yalaiti' ambao ulikuwa wimbo wa Malika na baadae kurudiwa na Bi.kidude..
Katika kibao hcho ambacho amemshirikisha Ndege mnana kutoka T.H.T bibie Linah Sanga..
Mwana Fa pia ni msanii ambaye anatumia kiswahl kizuri na Tamathali za semi kwa ufasaha..
'Nimeamua kuurudia wimbo huu,kwa kuwa ni moja ya nyimbo ambazo zime ni'inspire' kupenda zaid Taarab za zamani(sio modern) na bado wimbo huu ni classic na utazid kuwa classic,nina uhakika nimeutendea haki' Alisema Mwana Fa na kuongeza kuwa Video yake itatoka jumatatu ya juma lijalo ambayo imefanywa na kampuni ya Visual lab na Audio hiyo imetengenezwa na producer marco chali katika studio za MJ RECORDS..
 
mhh kweli ruge hapendi hiphop taratibu anawabadilisha

Cyo unakurupuka tu kujbujbu...inaonesha hata hujaielewa thread!jamaa ame'sample' tu bt stil kuna element za hphop katka beat..na jamaa amechana kama kawaida yoo
 
nampenda mwana fa han asifa kama kina shemeji
 
hakuna cha ku sample wala nini, uwezo wake Binamu ndio unapoishia hivyo, ina maana ameishiwa vya kuimba mpaka afanye samplin?
Fid Q - amani kwa MC na maproducer wazuri wa samplin..--kumbe fid aliliona hili kwa jicho la 3
Mwana Falsafa zamani sasa hivi mjanja mjanja, halafu na ww yimbo ipo hewani toka jana wewe leo ndio unajifanya kutupa story hapa, thread kama hizi zxinatujazia server tu, maana hata alichokiimba cha maana katika hii nyimbo hakuna..
 

nahc wewe n s.ugu...yoo
 
me nkiwa na benzi langu jekundu dereva wa daladala akanchomekea pale makumbusho akantukana nini,sio iiishu i can leave with it.....................mwisho wa kunukuuu aha haaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
wimbi mzuri...hongereni mwana FA na linnah.....
 
me nkiwa na benzi langu jekundu dereva wa daladala akanchomekea pale makumbusho akantukana nini,sio iiishu i can leave with it.....................mwisho wa kunukuuu aha haaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hahahaha lile boyaaaa tu yeye ndo kaiuwa east coast akishirikiana na ruge sugu kasema alikaa nae geto ulaya wakadiscuss mengi bout muziki lakini leo kamgeuka nahis ni mfuasi wa cameroon yule
 
Mwana FA ni boya mwache ruge amtumie kama kondomu,m2 anamasters lkn anapelekeshwa na soro ruge mwisho atakuja kuimbishwa kiduku zen ajiunge tht akatungiwe nyimbo na celebrate barnaba na akiongozwa na leadership wao B12
 
Sio mchezo. I have decided to become the designer of buildings badala ya kuchora picha za watu
 
Mwana Fa na yule njino Ay kwa kushirikiana na Ruge ndo waliiua East coast..maboya wale.
 
Ruge si kamdanganya FA eti kwamba 2015 atapewa ubunge wa Muheza na JK..Nyambaffffff
ubunge anazani unakuja ukiwa umekaa miguu juu, ukitaka jua anabebwa na Clouds Jay Moe katoa track ya ukweli weekend bt hawaipigi kama ya huyu kibaraka wao, wakati msg iliyomo kwenye song la Jay Moe ni kali zaidi ya huyu aliye sample nyimbo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…