Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Msanii nguli wa miondoko ya hiphop Tanzania Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa ageukia upande wa pili katka soko la taarabu.Na kwa kuanza leo ameachia kibao chake kipya kinachoitwa 'Yalaiti' ambao ulikuwa wimbo wa Malika na baadae kurudiwa na Bi.kidude..
Katika kibao hcho ambacho amemshirikisha Ndege mnana kutoka T.H.T bibie Linah Sanga..
Mwana Fa pia ni msanii ambaye anatumia kiswahl kizuri na Tamathali za semi kwa ufasaha..
'Nimeamua kuurudia wimbo huu,kwa kuwa ni moja ya nyimbo ambazo zime ni'inspire' kupenda zaid Taarab za zamani(sio modern) na bado wimbo huu ni classic na utazid kuwa classic,nina uhakika nimeutendea haki' Alisema Mwana Fa na kuongeza kuwa Video yake itatoka jumatatu ya juma lijalo ambayo imefanywa na kampuni ya Visual lab na Audio hiyo imetengenezwa na producer marco chali katika studio za MJ RECORDS..