MwanaFa aimba Taarabu; Yalaiti

Wewe unayejiita Great thinker wimbo wa YALAITI original uliimbwa na SITI BINTI SADI mwimbaji wa kwanza mwanamke kutoka Afrika Mashariki na vile vile kurekodi nyimbo zake kwenye santuri mnamo miaka ya hamsini. Alikuwa ni Mzanzibari mwana kindakindaki wa kwanza kupiga tour mpaka Hindustan (India) kwenda kurekodi hizo nyimbo ikiwemo na ile ya KIJITI.

Baadae wimbo huu uliimbwa tena na Mwanache Hassan wa Culture Music Club kabla ya Bi Zuhura kuuimba baada ya kuja Zanzibar kwenye late 1980s.

Usimpe Zuhura credit kwa wimbo ambao hakuutunga yeye.
 
lakn radio zngne c zinaupga hyo track au mpaka clouds ipige ndo mseme umepgwa? Nakusikilizwa?
 
Dah! jay Moe mkali sana! Nyimbo zake kali sana lakini hapewi nafasi pamoja na ukongwe wake.hapo ndio ninapomuelewa Sugu!
 
Wimbo Yalaiti ulitokea Cuba katika kipindi kati ya miaka 1920 na 1930, umekuwa unaimbwa Zanzibar kuanzia miaka ya 50 kipindi Bi Kidude bado msichana, hii habari ya kuwa ni wimbo wa Malika ukarudiwa na Bi Kidude ni uwongo mtupu, wimbo umeanza kuimbwa kabla Malika hajazaliwa...................
 
haters .... mtabaki kuwa haters ..FA ni matawi mengine.. anakipaji... msomi... kile kikundi cha sugu wataishia kumwaga matusi tu kwanza sidhani hata kuna mmoja kati ya wale amemzidi kielimu Fa...

nilidownload album yao anti virus nilisikiliza nyimbo MOJA nika delete folder yote ...

eti wanafanya hiphop... warudi class wakajifunze hiphop ni nini..?

pia nampongeza kwa kuchukuwa zilipendwa kama hizi .... na kufanya remix .. miziki kama hii ya kina siti bint saad haitakiwi kusahaulika katika tanzia ya burudani za culture ya watu wa pwani na visiwani
 
MwanaFA kaa Kanye West na Diamonds are forever! Lol
 

umemaliza mkuu...umeongea kila kitu. Sina cha kuongeza hapa.
 

Angalia uwongo wako tahaira wee..sasa kwan JK 2015 atagombea rais?na kwan ubunge wa muheza atapewa na mtu?c atachaguliwa na wananchi?Embu wakusanye watoto wa forM I na uwadanganye co sis ma great thnker..
Na inaonesha wewe co mdau wa burudan wakat hyo ngoma ya jay more iltambulishwa juz kwny XXL na B.12 na tangu waitambulshe kila cku wanaipga..we jamaa mnafki sana..
 
hahahaha!!!!vijanaa wanapo elekeaa,hip hop mpaka mipasho...cameroon jamaniiii!!!ilaa kama msanii lazimaa uweze kufanyaa kazii zote ubadilike kutokana na soko,
 
Ana uwezo mkubwa sana wa kuimba..Tatizo katabia kake kale katamtoa kwenye game..yoo

Katabia gani tena nauliza kwa uzuri tu jamani mana nimependa sana uwezo wake sasa kama anachanganya na ujinga mwingine ntasikitika sana. . Alafu kwa hisia tu katabia ka chini nn! Si aconcetrate kwenye kazi.jamani cjui kwa nn sura za ivo wanapenda tena. . Mweee. . Just saying lol. .
 
mwanzo wa kuporomoka huo,
akitoka taarab
ataingia kwenye nyimbo za asilia (malingi)
 
hahahaha!!!!vijanaa wanapo elekeaa,hip hop mpaka mipasho...cameroon jamaniiii!!!ilaa kama msanii lazimaa uweze kufanyaa kazii zote ubadilike kutokana na soko,

watu wanaotoka milimani utawajua tu.....! uliza uambiwe kuna aina ngapi za taarab....! tuachieani watu wa pwani na nyimbo zetu! ... watu bara bana...
 
mwanzo wa kuporomoka huo,
akitoka taarab
ataingia kwenye nyimbo za asilia (malingi)

mwana fa ni jembe, hata medula yako inatambua, ni ujeur wako wa kifikra tu ndo unakupotosha. Tumpe sifa though ana mapungufu.
 

Cuba na yalaiti ni wapi na wapi mdogo wangu! Kiswahili na Kispanishi haviendi sambamba. Mwimbaji alikuwa Siti binti Sadi kwenye hiyo miaka ya 50, au kwa kuwa ulirikodiwa kwenye santuri ndiyo ukadhania unatoka Cuba? Hebu jaribu kutafuta kitabu cha 'Wasifu wa Siti Binti Sadi' kilichoandikwa na Shaaban Robert. Au jaribu kugoogle Siti binti Sadi nadhani utapata historia yake kwenye moja ya websites
 
big up to all upcoming artists!hizi taarabu wengi tu wataimba si kwamba ndo ubunifu bali game imeshakuwa ngumu kwani kila siku vijana wapya wanaibuka!mwanaFA kuimba taarabu ni kupanic na kutaka kuonekana bado yupo katika game angalia mtu kama AY bado anasimamia katika style yake!.........FA kuimba taarabu ni kupanic hana jipya ni pressure ya vijana wapya!huku BIZNESS kule ROMA pale kati sijui STEREO,ONE THE INCREDIBLE pale NIKKI MBISHI nyuma GODZILLA!utaimba nini watu wakuelewe lazima ukimbilie katika taarabu!kesho ataimba mchiriku
 
Naona wapenzi (feki) wa taarab siku hizi wameongezeka. Sidhani kama upenzi wao utadumu. Wanafuata mkumbo tu kwa sababu wanadhani ni "cool".
 
uongo upi?
wewe ni kibaraka pia wa RUGAY ndio maana unamtetea zaidi huyu jamaa, kiukweli mshikaji kaishiwa, mwaka jana kapiga show za kampeni kila mkoa na CCM bosi wake akiwa RUGAY..
JK hagombei 2015 lakini kumbe wewe huelewi mambo, mwenyekiti ndio mwenye sauti ya mwisho katika kupitisha ya wagombea wewe, kwa taarifa yako Hamis kwa sasa anajipanga katika hilo na kampani yake ni January Makamba ndiyo wanaotegemea kumbeba, sasa najiuliza Muheza kweli atwaweza mtoa mzee Mtangi???
ndio maana SUGU anasema kila kitu anachokifanya Hamis ni ma X, koz Fa kapewa sna kampani na SUGU kiasi kwamba mwaka juzi akwia masomoni UK, SUGU alimualika USA dogo kusafisha nyota, tukachill nae sna, tatizo alilporudi Tz kabadilika na kushau harakati tulizokuwa tukizipanga huku na Stigolas Mwamba, Dolasoul..
Mwana FA snitch tu, kaishiwa anaimba taarabu anaufata anavyotaka RUGAY mda c mrefu ataanza kuimba VIDUKU
 
mwana fa ni jembe, hata medula yako inatambua, ni ujeur wako wa kifikra tu ndo unakupotosha. Tumpe sifa though ana mapungufu.




Mwana FA jembe?? kachomekwa mpini na nani???
RUGAY kamwambia track ijayo inabidi aimbe KIDUKU
 

watu hawa ndo wanadhani elimu vyetì.je víkiungua?elimu ni upeo ambao unampima mtu kwa hoja.tangu nìkiwa mtoto sugu amekua akiimba nyimbo za maana kuliko fa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…