bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Wewe unayejiita Great thinker wimbo wa YALAITI original uliimbwa na SITI BINTI SADI mwimbaji wa kwanza mwanamke kutoka Afrika Mashariki na vile vile kurekodi nyimbo zake kwenye santuri mnamo miaka ya hamsini. Alikuwa ni Mzanzibari mwana kindakindaki wa kwanza kupiga tour mpaka Hindustan (India) kwenda kurekodi hizo nyimbo ikiwemo na ile ya KIJITI.
Baadae wimbo huu uliimbwa tena na Mwanache Hassan wa Culture Music Club kabla ya Bi Zuhura kuuimba baada ya kuja Zanzibar kwenye late 1980s.
Usimpe Zuhura credit kwa wimbo ambao hakuutunga yeye.
Baadae wimbo huu uliimbwa tena na Mwanache Hassan wa Culture Music Club kabla ya Bi Zuhura kuuimba baada ya kuja Zanzibar kwenye late 1980s.
Usimpe Zuhura credit kwa wimbo ambao hakuutunga yeye.