mwanafgay
We jamaa unaonekana ulifeli class ndo maana unaponda elimu ya vyeti, piga kimya kama huna elimu wacha wenye elimu wafanye maisha kama FAwatu hawa ndo wanadhani elimu vyetì.je víkiungua?elimu ni upeo ambao unampima mtu kwa hoja.tangu nìkiwa mtoto sugu amekua akiimba nyimbo za maana kuliko fa.
mwanzo wa kuporomoka huo,
akitoka taarab
ataingia kwenye nyimbo za asilia (malingi)
Utabiri wako bado hujatimia tu?
Mwaka wa tatu huu!!
Dah bro unajitahidi. Bado unapoteza(ga) muda wako kusubiri utabiri wa WACHAWI Utimie??? Hahahahahahahahaha. Hao wana stress za maisha ukiwafata umepotea.