MwanaFa aimba Taarabu; Yalaiti

MwanaFa aimba Taarabu; Yalaiti

nimependa video.....
 
Last edited by a moderator:
Nyie pigen kelele...mara snitch mara nn...ila bINAMU hana dhiki ndogo ndogo...anatembelea benzi ni ishara ya mafanikio...wale wahuni watabaki jukwaani kuongea upupu baada ya apo kesho hawatajua wanakula nini....
 
Hahaha! i hate that am so late seeing this thread, anyway FA ni FA tu hata wadau mponde vp.. Haters wengi naona wanaponda kwa sababu zao binafsi mara sugu alimleat FA USA na mambo kibao hayo yote hayasababishi mtu kuchukia muziki wake.. Ni msanii gani bongo aliekuza kiswahili kama FA? FA anajua bana, jamaa hana dhiki za kishezi na kielimu ni msanii aliepiga hatua kinoma..
 
watu hawa ndo wanadhani elimu vyetì.je víkiungua?elimu ni upeo ambao unampima mtu kwa hoja.tangu nìkiwa mtoto sugu amekua akiimba nyimbo za maana kuliko fa.
We jamaa unaonekana ulifeli class ndo maana unaponda elimu ya vyeti, piga kimya kama huna elimu wacha wenye elimu wafanye maisha kama FA
 
Dah bro unajitahidi. Bado unapoteza(ga) muda wako kusubiri utabiri wa WACHAWI Utimie??? Hahahahahahahahaha. Hao wana stress za maisha ukiwafata umepotea.

Hii kampeni ya kutokomeza uchawi humu inatakiwa kuwa endelevu!!

Watu tuache kuhate kila kitu
 
Back
Top Bottom