Mwanafa...,mama ngwair anasubiria milioni 3 zake!!!!!!

Mwanafa...,mama ngwair anasubiria milioni 3 zake!!!!!!

Wakati wa kkutangaza shoo hii ndo ilikuwa advert yenye kipaumbele mbona hawajayimiza??
 
Hii ilikua ahadi ya MwanaFa kwamba asilimia 15 ya mapato ya shoo yake itaenda kwa mama Albert Mangweha.
Kama target ilikua watazamaji 400 na tukatangaziwa kwamba tiketi zimeisha....
i.e 400 * 50,000=20,000,000

15/100 * 20,000,000 = 3,000,000

loooooooooooooooh mwanaFATUMAAA UTAFANYEJE MAANA ILE SHOO ILIKUA HANYAUU, KAMWAMBIEE RUGEE AKUPE KAMA NAE HANA NENDA KWA BINT ANACONDA AKUTIE DOLE NDO AKUPEE
 
Back
Top Bottom