Hii ilikua ahadi ya MwanaFa kwamba asilimia 15 ya mapato ya shoo yake itaenda kwa mama Albert Mangweha.
Kama target ilikua watazamaji 400 na tukatangaziwa kwamba tiketi zimeisha....
i.e 400 * 50,000=20,000,000
15/100 * 20,000,000 = 3,000,000
Wabongo mna roho mbaya Sana..mtu akisha succes mnaanza choko choko...
Fanyeni kazi na acheni majungu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app