Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri?
Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine.
Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza akisikia sauti ya ndege aitwae bundi. Lazima atatoa mlio wa tahafhari.
Mbwa hawezi kutulia kimya akiona mndege aina ya mwewe anavizia vifaranga vya kuku, lazima atabweka tu. Mbwa mwenye akili hawezi kuacha kumbwekea kunguru mwizi (maarufu kama kunguru wa z'bar) lazima atabweka tu. Tena atabweka kwa sauti ya tahadhali hadi ahakikishe ndege huyo anarudi alikotoka.