Mwanafamilia mpya wa JamiiForums

Mwanafamilia mpya wa JamiiForums

haya kigori nimefika

karibu sana kwenye familia ya great thinkers.
mgeni huyu hapa ni shemeji yako naomba umuheshimu sana na kumsikiliza.
ukitaka ugomvi na mimi basi umkorofishe hyu miss wangu, naununua ugomvi mzima mzima.


'vigezo na masharti kuzingatiwa'
Huo ukaribisho nimeupenda mimi jamaniii handsome!!

Umemuona mgeni lakini?!
 
Mgeni jitahidi kuacha tabia za kwenye facekitabu a.k.a Facebook ....karibu.
 
Mm Ni mpekukuz Sana Wa mitandao huwa natafutaga ufumbuz Wa maswala mbali mbali haswa ya kibiashara n.k so huwaga naona watu wengi hutatua mambo yao kupitia hii blog so nkaona bora nijiunge
mimi ndo admin humu ko naomba n pm namba ako, nkupe utaratbu wa kufuata
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe ujue mtundu sana. Umemchuuza mgeni hivi hivi, kaweka kweli no ya simu na picha.[emoji1787]

Mti wenye matunda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo namba ni muhimu kama akianguka jukwaani tuwajulishe ndugu zake
 
Back
Top Bottom