Mwanafamilia mpya wa JamiiForums

Huo ukaribisho nimeupenda mimi jamaniii handsome!!

Umemuona mgeni lakini?!
 
Mgeni jitahidi kuacha tabia za kwenye facekitabu a.k.a Facebook ....karibu.
 
Mm Ni mpekukuz Sana Wa mitandao huwa natafutaga ufumbuz Wa maswala mbali mbali haswa ya kibiashara n.k so huwaga naona watu wengi hutatua mambo yao kupitia hii blog so nkaona bora nijiunge
mimi ndo admin humu ko naomba n pm namba ako, nkupe utaratbu wa kufuata
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe ujue mtundu sana. Umemchuuza mgeni hivi hivi, kaweka kweli no ya simu na picha.[emoji1787]

Mti wenye matunda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo namba ni muhimu kama akianguka jukwaani tuwajulishe ndugu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…