wa hapa hapa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 285
- 150
Sijui huu ni uvivu wa kufikiri au ni kitu gani! wadau wa elimu. Hii imetokea huku kwetu(nyanda za juu kusini-ruvuma), mwanafunzi wa kidato cha nne, aliamua kuandika matusi na baadhi ya mistari ya diamond katika mtihani wa mock kanda uliofanyika mwezi uliopita.
Tukio hilo limejitokeza katika mtihani wa Biology pale alipotakiwa kuandika insha kuhusu Malaria. Kweli ukistaajabu ya mussa(NECTA)utayaona ya firauni(MOCK)
Tukio hilo limejitokeza katika mtihani wa Biology pale alipotakiwa kuandika insha kuhusu Malaria. Kweli ukistaajabu ya mussa(NECTA)utayaona ya firauni(MOCK)