Mwanafunzi aandika Matusi na mashairi ya Diamond katika mtihani wa Mock

wa hapa hapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
285
Reaction score
150
Sijui huu ni uvivu wa kufikiri au ni kitu gani! wadau wa elimu. Hii imetokea huku kwetu(nyanda za juu kusini-ruvuma), mwanafunzi wa kidato cha nne, aliamua kuandika matusi na baadhi ya mistari ya diamond katika mtihani wa mock kanda uliofanyika mwezi uliopita.

Tukio hilo limejitokeza katika mtihani wa Biology pale alipotakiwa kuandika insha kuhusu Malaria. Kweli ukistaajabu ya mussa(NECTA)utayaona ya firauni(MOCK)
 
nilitaka nije na attachment ya mtihani,bt mazingira yamenizuia kufanya hivyo,ila kaandika mashairi ya wimbo mpya wa diamond(mdogo mdogo)
 
Kwa sababu mwalimu wewe ufundishi unashnda JF ndo maana badala ya kusahihisha unakimbilia huku kuleta umbeya refer kwenye RED. Fundisheni watoto wajue cha kuandika nyinyi!! mmekalia kuwatoza pesa kila siku eti ni za tuition tena wakati mwingine wakati wa saa za masomo ya kawaida eti leta 200/= kila mwanafunzi. Ngoja nimwombe rais amteue tena Mnali ajae awachape
 
nadhani mr. nyati umekosa uelewa kidogo,na kama unao basi unafanya makusudi,hivi unadhani ishu ya kufundisha ni kama unavyolima kwenye shamba lako kwamba ukijisikia kulima unaenda muda wowote?
Suala la kufundisha huwa linafata utaratibu(vipindi),siyo km unavyotaka wewe,unadhan mwalimu bora ni yule anayeshida darasan muda wote?
Km ww umeweza kupata muda wa kuja hapa jf,it means huna kaz ya kufanya?huwa tunakuja hapa kubadilishana mawazo,halafu usipende kufanya majumuisho kwa walimu wote,siyo walimu wote huwa wanafundisha tution.JIONGEZE KIDOGO MKUU.
 
Well said
 
Japo povu limekutoka ila kula booonge la like mr ticha
 
Kwa sababu mwalimu wewe ufundishi unashnda JF ndo maana badala ya kusahihisha unakimbilia huku kuleta umbeya refer kwenye RED. Fundisheni watoto wajue cha kuandika nyinyi!! mmekalia kuwatoza pesa kila siku eti ni za tuition tena wakati mwingine wakati wa saa za masomo ya kawaida eti leta 200/= kila mwanafunzi. Ngoja nimwombe rais amteue tena Mnali ajae awachape

Nashukuru sana kwa huu mchango.

Mleta mada ni mwalimu na kaja kwa furaha sana hapa kwa upuuzi wa Mwanafunzi wake.
Zikiletwa mada za kuwaponda wanajaa vifua vibaya sana.
 
biology na insha wapi na wapi jamani??
hii mitaala ya division 5 ni tatizo kwa taifa.
 
Attachments

  • 1408973629595.jpg
    1408973629595.jpg
    16.6 KB · Views: 172
Back
Top Bottom