wa hapa hapa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 285
- 150
Kwa sababu mwalimu wewe ufundishi unashnda JF ndo maana badala ya kusahihisha unakimbilia huku kuleta umbeya refer kwenye RED. Fundisheni watoto wajue cha kuandika nyinyi!! mmekalia kuwatoza pesa kila siku eti ni za tuition tena wakati mwingine wakati wa saa za masomo ya kawaida eti leta 200/= kila mwanafunzi. Ngoja nimwombe rais amteue tena Mnali ajae awachapenilitaka nije na attachment ya mtihani,bt mazingira yamenizuia kufanya hivyo,ila kaandika mashairi ya wimbo mpya wa diamond(mdogo mdogo)
nadhani mr. nyati umekosa uelewa kidogo,na kama unao basi unafanya makusudi,hivi unadhani ishu ya kufundisha ni kama unavyolima kwenye shamba lako kwamba ukijisikia kulima unaenda muda wowote?
Suala la kufundisha huwa linafata utaratibu(vipindi),siyo km unavyotaka wewe,unadhan mwalimu bora ni yule anayeshida darasan muda wote?
Km ww umeweza kupata muda wa kuja hapa jf,it means huna kaz ya kufanya?huwa tunakuja hapa kubadilishana mawazo,halafu usipende kufanya majumuisho kwa walimu wote,siyo walimu wote huwa wanafundisha tution.JIONGEZE KIDOGO MKUU.

Kwa sababu mwalimu wewe ufundishi unashnda JF ndo maana badala ya kusahihisha unakimbilia huku kuleta umbeya refer kwenye RED. Fundisheni watoto wajue cha kuandika nyinyi!! mmekalia kuwatoza pesa kila siku eti ni za tuition tena wakati mwingine wakati wa saa za masomo ya kawaida eti leta 200/= kila mwanafunzi. Ngoja nimwombe rais amteue tena Mnali ajae awachape
Shule Ngumubiology na insha wapi na wapi jamani??
hii mitaala ya division 5 ni tatizo kwa taifa.