Mwanafunzi abakwa ntunduru sec school sengerema

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
inasikitisha binti wa kidato cha pili kabakwa na wanafunzi wa tano kidato cha nne...huku wanafunzi hao wameendelea kuwepo shuleni bila kuchukuliwa hatua...
 
Aliye post hii thread yaonekana ni mwanafunzi wa hiyo shule, na tabia za ubakaji mashuleni zipo. Bila watu kama huyu kusema wazi tutajuaje ili vyombo husika visaidie haki ipatikane?

Hajatumia JF kuchafua heshima ya watu, bila kutaja jina la muathirika, vyombo vya dola vitaanzia uchunguzi? Unless wewe ni mmoja wa hao wabakaji sasa unaogopa kwa kuwa limesanuka na kuwekwa wazi.

Mleta mada, naomba ufunguke zaidi kama suala hili lilifikishwa kwa waalimu na je waalimu walifanya nini baada ya kupata taarifa.

Wana JF tusipende kutumia matusi kama kinga ya maovu yetu ili tusisemwe.
 
Ameripoti mahala husika.? au alidhamilia tu kutoa papuchi,manake watoto wa form two bhana.
 
Kesi ya ubakaji siku hizi kali sana labda tarifa hazijafika kwenye vyombo husika nakushauri peleka polisi tarifa hiyo.
 
Kila mtu anajua!!! Mpaka ukicha.gia maada wanakagua spelling!!! Najifunza________!
 
Mkuu L/Cruiser. Asante kwa kunielewesha.

Para yako ya mwisho, Mleta Uzi awataje ili KIVULINI, kama bado wako hai huko Mwanza, wasaidie ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri nasaha kwa huyu mtoto, ambaye wiki chache zijazo anatakiwa kufanya Mitihani ya Taifa!
 
MahinaVeterani

Sasa tunaongea.

Tumbane huyu mleta mada atupe dondoo za kutusaidia kuibana shule husika kulifanyia kazi.

Mh, Veterani, ubakaji ni kitu kibaya sana na humjengea aliyebakwa kujichukia na kuchukia kila mwanaume. Wengine hupata msongo wa mawazo mbaya na pengine hupelekea kujiua.
 
Last edited by a moderator:
una maana gani unaposema amebakwa?
1.Mbakaji alitumia nguvu kumuingilia huyo binti?
2.Mtuhumiwa amefanya ngono na mtu aliyekuwa under 18?
Nijibu kisheria zaidi.
Na je?wewe ni nani katika kesi hii,upo wapi na umejuaje tukio hilo?
Wapi umeliripoti?
Au walikubaliana kama michezo yao ya mapenzi inavokuwa ila wewe umeumia kugongewa mwanao?
 

... mtuhumiwa mleta uzi kala kona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…