Mwanafunzi afariki kwa kupigwa risasi shuleni, kisa kuzuia kuangalia mechi ya Man Utd

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Gulu-central.jpg
Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022.

Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa akisoma kidato cha tatu.

Shuhuda wa tukio hilo amesema marehemu alipigwa risasi hiyo akiwa kwenye mti wakati akijaribu kutoka katika vurugu zilizotokea. Baada ya hapo mwili wake ulichukuliwa na kupelekwa Gulu Regional Referral Hospital.

Wanafunzi wengine wamejeruhiwa wengi wao wakiwa ni wasichana. Baada ya tukio hilo wanafunzi 1,000 wamerejeshwa nyumbani kisha shule kufungwa kwa muda.

Kuzuiwa kushuhudia 'live' mchezo huo uliomalizika kwa Manchester City kushinda mabao 4-1 kulizidisha hasira za wanafunzi hao ambao walianzisha vurugu.

Baadhi ya mali na vitu kwenye shule hiyo vimeharibiwa ikiwemo katika maabara.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Bwonagweno ambapo ndipo shule hiyo ilipo, Alfred Otema amesema baada ya vurugu kuwa kubwa walinzi waliwasiliana na askari mbao walifika na kutumia bunduki kuzuia vurugu.

David Ongom Mudong ambaye ni Msemaji wa Polisi wa eneo hilo, hajatoa tamko kuhusu tukio hilo ambapo inadaiwa kuwa aliyefyatua risasi ni mmoja wa askari waliofika eneo la tukio.

FNS1bfaXMAI7dnp.jpg

Source: Independent (Uganda)
===

One student shot dead after Gulu High riot over Manchester derby

Gulu, Uganda | THE INDEPENDENT |
One student has been confirmed to have died during a violent strike at Gulu Central High School on Sunday night. The deceased has been identified as Gabriel Rwotomiya, a senior three-student.

Eyewitnesses say he was shot atop a mango tree in the school compound while trying to escape from the school premises. People who saw the deceased’s lifeless body being evacuated from the tree this morning and taken to the Gulu Regional Referral Hospital morgue told URN that the bullet shattered his jaws.

Several other students are nursing injuries at Gulu Regional Referral Hospital while others are still unconscious, the majority of them girls. Security rushed to deploy at Gulu Central High School in Bardege-Layibi division Gulu City on Sunday to quell a violent strike by the students protesting the decision by the management not to broadcast a live English football match between Manchester City and Manchester United played at Etihad Stadium in England. Man City won the game 4-1.

URN visited the school this morning and found the computer laboratory, store, main hall, window panes, and Eastern side of the perimeter wall fence extensively damaged. The school bus registration number UAP 084 U was also badly damaged during the strike and was towed to Gulu Central Police Station.

Alfred Otema, the Bwonagweno Village Chairperson, says that a group of security officers comprising the police and soldiers used live bullets to contain the rowdy students. Nancy Agenorwot, an eyewitness and neighbour at the school who offered first aid and rushed five injured female students to Gulu Regional Referral Hospital for treatment described the situation as disturbing.

One of the casual workers at the school who spoke on condition of anonymity, says that this is the worst experience at the school since its establishment about 30 years ago. Lamson Okello, the Director of Studies, says that the students turned rowdy after they were ordered to stop watching the football match and go for preps.

Heavily armed officers from the Field Force Unit-FFU and soldiers have maintained their presence in the school compound to avert any possible chaos. David Ongom Mudong, the Aswa River Region Police Spokesperson, told URN that he was yet to get details from the army since it is said that it was one of their officers who shot the student.

Gulu Central High School is privately owned by Dr David Onen. It is one of the leading mixed-day and boarding schools in Northern Uganda. It has about 1,000 students enrolment.
 
Yani hawa wanafunzi hawana akili. Wanagombania kuangalia utopolo wa Man United? Bora wangegombana kuangalia Tom en Jerry.
 
Kwamba hakukuwa na mashabiki wa timu nyingine?.
Mechi kama hizi huangaliwa na mashabiki wa timu nyingi..
Si ajabu hakukua na mashabiki wa Man U,maana walishajikatia tamaa siku nyingi

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Shule huwa zina makatazo ya ajabu ajabu tu ambayo hayana maana,ona sasa yaliyotokea

Walimu badilikeni
 
Polisi nao itakuwa walitumia nguvu kupita kiasi.
Wanafunzi mara nyingi uwa hawagomei mambo ya msingi yanayohusiana na masomo na ikitokea ujue wana sugarcoat ila madai yao mengine.
Nakumbuka nikiwa high level walitaka kutuzuia kutumia simu, tukaanza andaa mgomo lakini kwenye huo mgomo hatusemi kama chanzo ni simu.
Kulikuwa na teacher mzee flani mjanja akaja kwenye kikao akasema mimi najua hayo mengine sio madai yenu ya msingi, hapa shida ni simu. Tunawaruhusu kuendelea kutumia simu zenu ila mkimaliza hawa watakaobaki hawataruhusiwa. Wewe tulishangilia na mgomo ukawa umeisha.
 
Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022.

Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa akisoma kidato cha tatu.

Shuhuda wa tukio hilo amesema marehemu alipigwa risasi hiyo akiwa kwenye mti wakati akijaribu kutoka katika vurugu zilizotokea. Baada ya hapo mwili wake ulichukuliwa na kupelekwa Gulu Regional Referral Hospital.

Wanafunzi wengine wamejeruhiwa wengi wao wakiwa ni wasichana. Baada ya tukio hilo wanafunzi 1,000 wamerejeshwa nyumbani kisha shule kufungwa kwa muda.

Kuzuiwa kushuhudia 'live' mchezo huo uliomalizika kwa Manchester City kushinda mabao 4-1 kulizidisha hasira za wanafunzi hao ambao walianzisha vurugu.

Baadhi ya mali na vitu kwenye shule hiyo vimeharibiwa ikiwemo katika maabara.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Bwonagweno ambapo ndipo shule hiyo ilipo, Alfred Otema amesema baada ya vurugu kuwa kubwa walinzi waliwasiliana na askari mbao walifika na kutumia bunduki kuzuia vurugu.

David Ongom Mudong ambaye ni Msemaji wa Polisi wa eneo hilo, hajatoa tamko kuhusu tukio hilo ambapo inadaiwa kuwa aliyefyatua risasi ni mmoja wa askari waliofika eneo la tukio.

Source: Independent (Uganda)
===

One student shot dead after Gulu High riot over Manchester derby

Gulu, Uganda | THE INDEPENDENT |
One student has been confirmed to have died during a violent strike at Gulu Central High School on Sunday night. The deceased has been identified as Gabriel Rwotomiya, a senior three-student.

Eyewitnesses say he was shot atop a mango tree in the school compound while trying to escape from the school premises. People who saw the deceased’s lifeless body being evacuated from the tree this morning and taken to the Gulu Regional Referral Hospital morgue told URN that the bullet shattered his jaws.

Several other students are nursing injuries at Gulu Regional Referral Hospital while others are still unconscious, the majority of them girls. Security rushed to deploy at Gulu Central High School in Bardege-Layibi division Gulu City on Sunday to quell a violent strike by the students protesting the decision by the management not to broadcast a live English football match between Manchester City and Manchester United played at Etihad Stadium in England. Man City won the game 4-1.

URN visited the school this morning and found the computer laboratory, store, main hall, window panes, and Eastern side of the perimeter wall fence extensively damaged. The school bus registration number UAP 084 U was also badly damaged during the strike and was towed to Gulu Central Police Station.

Alfred Otema, the Bwonagweno Village Chairperson, says that a group of security officers comprising the police and soldiers used live bullets to contain the rowdy students. Nancy Agenorwot, an eyewitness and neighbour at the school who offered first aid and rushed five injured female students to Gulu Regional Referral Hospital for treatment described the situation as disturbing.

One of the casual workers at the school who spoke on condition of anonymity, says that this is the worst experience at the school since its establishment about 30 years ago. Lamson Okello, the Director of Studies, says that the students turned rowdy after they were ordered to stop watching the football match and go for preps.

Heavily armed officers from the Field Force Unit-FFU and soldiers have maintained their presence in the school compound to avert any possible chaos. David Ongom Mudong, the Aswa River Region Police Spokesperson, told URN that he was yet to get details from the army since it is said that it was one of their officers who shot the student.

Gulu Central High School is privately owned by Dr David Onen. It is one of the leading mixed-day and boarding schools in Northern Uganda. It has about 1,000 students enrolment.
Mwenye matokeo ya hii mechi Machester walitokaje aniambie
 
Leave Gulu high school better than you found it - wanafunzi wamefanya kinyume kabisa na kauli!
 
Back
Top Bottom