Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi

Ni ke au me?
Hujafafanua.
 
Upuuzi....wacha tuu amejiwahisha mwenyewe
 
L
Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani, amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi.


Jamhuri
Kukatazwa kutojihusisha na mapenzi, maana yake wazazi wake walikuwa wanamtaka ajihusishe na mapenzi wakati yeye allikuwa hataki, si ndiyo?
 
Siku hizi wana
 
Wadogo wanaiga wakubwa.
Nyie wazee nyie mnaojinyonga nyonga ndio sababu na wao wanaona ndio njia sahihi
 
Kama alihisi kujinyonga ni kumkomoa mtu asubiri kusahaulika tu
 
Tulipofika ni hatari sana visichana siku hizi vinakojoa aka kufika kileleni na cha ajabu wengine wanasikika wakisema hawawezi kukaa wiki bila kutinduliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…