Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake.

Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa awali ulibaini kuwa kabla ya tukio hilo la kujinyonga, marehemu alitaka kwenda kuangalia video usiku na ndipo alipozuiliwa na kaka yake, hivyo basi kitendo hicho cha kuzuiliwa kwenda kwenye banda la video usiku ndicho kilichopelekea maamuzi mabaya ya mtoto huyo kujinyonga.
 
Huyo ni binti. Atakuwa alikuwa anapeleka papuchi.
 
Back
Top Bottom