Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Kagemu Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Caren Mwemezi mwenye umri wa miaka 18, amekutwa akiwa amejinyonga nyumbani kwao mtaa wa Nyakanyasi huku sababu za awali zikitajwa kuwa ni kulazimishwa kwenda shuleni.
Mama mzazi wa mtoto huyo Rozimary Mwemezi na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyakanyasi, Anord Ngirwa amesema tukio hilo ni la tatu kutokea katika mtaa huo hivyo kuwasihi wananchi kuacha tabia hiyo
Chanzo Radio One .