Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

Mwanafunzi aliye re seat hutumia namba gani ya mtihani wa kidato cha nne kuomba mkopo

Namba yoyote ile inafaa ila itapendeza zaidi ukitumia aliyofanya vizuri kwenye mtihani wake.
 
Tumia namba ambayo ni recent, lakini wakati wa kujaza taarifa zako kuna option ya kujaza namba zote kwa wale walio fanya mtihani zaidi ya mara moja.
Nadhani ni muhimu zaidi taarifa ie namba zote mbili zikawapo kwenye form yako.
 
Kwenye issue ya number unabidi kuwa makini namba ya kuombea mkopo inabidi ifananae na ya form four so u have to be Attentive
 
Back
Top Bottom